Blackberry curve | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Blackberry curve

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by digodigo, Feb 29, 2012.

 1. d

  digodigo Senior Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Naombeni msaada wakuu kila ninapotaka kuaccess camera yangu kwenye blackberry inaniambia 'close other application'
  sielewi ni application zipi?kwani wakati huo naamini kuwa sijafungua application zingine.
   
 2. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Fanya hivi mkuu, shikilia ALTkwenye keypad ya simu yako uku ukipress LGLG pasipo kuachia itafunguka pop up windows ya event log , ingia option na press clear


  Baada ya kufanya hivyo toa battery na uirudishie, kama ukifanikiwa usisite kunijulisha pia ikigoma niambie nikupe option nyingine.
   
 3. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Rukus,
  What is LGLG?

  digodigo,
  Ukipenda unaweza ku-restart simu yako kwa kubonyeza vitufe hivi kwa mpigo: Alt+Shift+Del badala ya kuondoa baterry. (aA=Shift?)
   
 4. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Is a Function to clear memory...

  Hiyo njia uliyompa ya kurestart haifanyi kazi kwa BB zote mkuu inategemea na aina ya os aliyonayo kwenye simu yake
   
 5. d

  digodigo Senior Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nashukuru mkuu kwa ushauri lkn napata tabu pia kuipata hiyo ALT
   
 6. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Mimi yangu imekufa ghafla....natapata wapi fundi mzuri?
   
 7. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Sijawahi kuona command inayofanana na L-G-L-G. It works! Thanks
  What other useful command do you often use?
   
 8. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ALT ni kitufe cha mwisho kabisa kwenye keypad yako upande wa kushoto chini kabisa.

  Kwani mkuu bb yako ni curve model ipi?
   
 9. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #9
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ungetoa malezo ya kutosha kwamba imekufaje na ilikuwa je au kama ni kifo cha ghafla itakuwa ilikumbwa na heart attack Lol!
   
 10. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #10
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  MKUU. vipi ujaiona hiyo ALT?
   
 11. kopuko

  kopuko Senior Member

  #11
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  i have the same problem,ngoja nijaribu nione
   
 12. d

  digodigo Senior Member

  #12
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ni touch screen model 9380
   
 13. kopuko

  kopuko Senior Member

  #13
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  nimefanya hivyo but kuna log mbili hazikujifuta
  nika restart but inshu ni ile ile
  msaada zaidi please
   
 14. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #14
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Jaribu kuclear tena,ikigoma Fungua cover la simu yako kwa nyuma kwenye battery kwa juu yake kwenye lens ya camera tumia kidole cha pili ya gonga kwenye lens mara mbili utasikia kamlio flani hivi, baada ya kufanya hivyo. Chomoa betri na uirudishie then jaribu kufungua camera yako na uhakik itafanya kazi


  Njia hii ni ya kuchekesha ila ndio inafanya kazi kimaajabu na hayo ndio maajabu ya BB..
   
 15. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #15
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Jaribu na option ya pili kama hiyo ya mwanzo ikigoma
   
 16. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #16
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Je unaweza kunitajia hizo log zilizogoma?
   
 17. kopuko

  kopuko Senior Member

  #17
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  nimegonga mara mbili ka mlio nimekasikia
  nika restart but mchezo ule ule
  au kidole cha pili uli maanisha kipi?
   
 18. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #18
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  nilimaanisha kidole cha pili toka dole gumba vyote vichirikiane ila cha pili ndio kigonge lens. Nadhani ujagonga vizuri mkuu usitumie nguvu na fanya kama vile unagonga yai kusikilizia kama lina kiumbe ndani
   
Loading...