Black women unmarried...

That's Atlanta, GA y'all.....the man to woman ratio is 1:20 (my estimate)...so why in hell would any red blooded man's man rush to get married? Hell to the no....
 
Ndio maana tunaambiwa kila mwanaume aoe wake zaidi ya moja mnabisha?? one man 2-4 wives problems solved! within a year.
 
...'Back pocket girl', Lol!...

...ukweli ni kwamba wengi wao hapo walidhani success comes with a caucasian husband. Wanakurupuka kumekuchwa, umri ushakwenda na hakuna black-men waliotayari kuoa 'janamke' over 30's lilojaa hila!
 
Vipi tena Bro, mbona unawashusha hadhi dada zetu?! Besides, baadhi yao si makosa yao kwa kweli. Unakuta mdada labda kazaliwa kwenye very conservative family. Anakuwa msongo kichizi, kitabu na yeye -yeye na kitabu, aki pursue kile familia yake na jamii around her imemwaminisha. By the time anapoanza kuoana matunda ya hicho kisomo chake, wote waliokaribu naye (wanaume) anakuwa amewaacha mbali kimapato na hadhi nao wanakuwa wamemwacha mbali kifamilia. Na katika kutapatapa hapa na pale muda unakuwa unayoyoma na wanacheza ndani ya viwanja vya 30's. Sasa kwa vile jamii waliyomo wanakuwa ni wengi zaidi kuliko wanaume, hapo kasheshe ndipo linapoanza.

Kila mwanamme aliyepo around anakuwa keshapata baby mama pembeni na anadaiwa child support. Wakicheck jinsi walivyosota kufika katika mafanikio hayo, inawawia vigumu sana kupata watu wenye malika ya kukubalika au matamanio yao na wenye hadhi sawa au inayokaribiana nawo. Si kweli kwamba wanakuwa wamedhamiria kuwa na Caucasian males zaidi.

Hii stori kwa kweli inawagusa wengi wa dada zetu. Hata hivyo hii ni cha mtoto kwa madada wa Kihindi, haswa waliozaliwa na kukulia kwenye western world. Wakati kule kwa Wachina ni totally opposite. Wanaume (kama sijakosea) ni million 80 zaidi ya wanawake!!

By the way Mbu, ulishaisoma hii: https://www.jamiiforums.com/mahusia...confessions-of-a-cougar.html?highlight=cougar

Baadaye!
 
...hayo ma Cougar ndio hila zenyewe hizo. Anyway, kuna mdada hapo anasema alikuwa na certain characteristics za Mume anayemtaka, lakini jinsi umri unavyokimbia kajionea apunguze kigezo cha Urefu alichokuwa amekiweka mwanzoni mpaka eye-eye level, LOL!...

Apart from that, sina kinyongo na Successful ladies, tena naona fahari hasa nikikutana na CEO mwanamke!
 
The spirit of individualism that fuelled so much of America's development has reached what economists call "the point of diminishing returns" where further addition of individualism will not only produce no more desirable output, but may actually produce some expensive and undesired results.America simply has too much individuality for marriages to flourish, regardless of race.Little kids are invariably taught about fairness and equality, guess what, marriage is not fair and knows no equality.One of the reasons these sisters are finding it hard to find men, and this is starting to happen in Africa too though at a smaller scale, is the false expectations so succinctly detailed in the video.

The bigger point is...

What's the point of getting married only to end up in divorce? With all the drama that comes with it? Or worse, not even get a divorce but end up in a trap?

Marriage is not what it is cracked up to be, if it was the divorce rate wouldn't be 50%, to say nothing of the bad marriages and the "keeping up appearances" ones.

I know people who are practically divorced, but legally still married for financial reasons.If it wasn't for these the rate of successful marriages would have been around 20% .

So again, the institution of marriage itself is a failure, across the board.The only reason you are seeing this addressed as a "black people" issue is because white America loves to condescend, like Eminen said, they know that they "couldn't do good at marriage" now they want to be able to look down on someone, and who could that be? Black women.

Once they do a comprehensive unbiased look at marriage across the racial lines, and address the folly of trying to institutionalize the uninstitutional then I can consider looking at the question with a more critical commitment.

Until then, this perfect marriage phenomenon will remain a Selassian illusion, to be pursued, but never attained.
 
One of the reasons these sisters are finding it hard to find men, and this is starting to happen in Africa too though at a smaller scale, is the false expectations so succinctly detailed in the video.

Hata Tanzania hili tatizo linaota mizizi. Kuna akina dada wengi wenye elimu ya juu kabisa, kazi za maana na mishahara minono lakini wanakosa waume wa maana kwa maneno ya mtaani "wapo wapo tu"

Marriage is not what it is cracked up to be, if it was the divorce rate wouldn't be 50%, to say nothing of the bad marriages and the "keeping up appearances" ones.

I know people who are practically divorced, but legally still married for financial reasons.If it wasn't for these the rate of successful marriages would have been around 20% .

Hili nalo ni kweli tupu. Ukisikia watu waliomo kwenye ndoa "kwa sababu ya watoto wao" au "wanaogopa kwenda kuanza maisha" wakiwa single, idadi ni kubwa na inatisha. Kwa hiyo inawezekana kabisa labda asilimia ya "successful marriages" ni 20% and there is a possibility the number is less than 20%
 
The spirit of individualism that fuelled so much of America's development has reached what economists call "the point of diminishing returns" where further addition of individualism will not only produce no more desirable output, but may actually produce some expensive and undesired results.America simply has too much individuality for marriages to flourish, regardless of race.Little kids are invariably taught about fairness and equality, guess what, marriage is not fair and knows no equality.One of the reasons these sisters are finding it hard to find men, and this is starting to happen in Africa too though at a smaller scale, is the false expectations so succinctly detailed in the video.

The bigger point is...

What's the point of getting married only to end up in divorce? With all the drama that comes with it? Or worse, not even get a divorce but end up in a trap?

Marriage is not what it is cracked up to be, if it was the divorce rate wouldn't be 50%, to say nothing of the bad marriages and the "keeping up appearances" ones.

I know people who are practically divorced, but legally still married for financial reasons.If it wasn't for these the rate of successful marriages would have been around 20% .

So again, the institution of marriage itself is a failure, across the board.The only reason you are seeing this addressed as a "black people" issue is because white America loves to condescend, like Eminen said, they know that they "couldn't do good at marriage" now they want to be able to look down on someone, and who could that be? Black women.

Once they do a comprehensive unbiased look at marriage across the racial lines, and address the folly of trying to institutionalize the uninstitutional then I can consider looking at the question with a more critical commitment.

Until then, this perfect marriage phenomenon will remain a Selassian illusion, to be pursued, but never attained.

Well said Mr. B, I, wouldn't or will not advice anybody to get married just for the sake of "getting married" even if you think the person you want to get committed to aren't your choice.
 
Back
Top Bottom