Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,989
- 5,069
Of course kuna watu iq zao ziko below average, hilo hatukatai. Mimi kwangu mtu kama jk nikimpa iq ya 70 ntakuwa nimempendelea sana! Haiwezekani we mtu ndo incharge wa kila means za uchumi unaishia kushawishi na wengine kwamba bila misaada hatuwezi kuendelea!!....? Na madini yalipo kila sfhemu unapokanyaga??? Nahisi hata shule alisoma kwa bahati bahati tu.
