Black people hate everything about slavery except religion

Wee em sema kweli? Lol
Ndio maana wakenya na waganda wamesambaa kila pembe ya dunia kwa sababu ya lugha.

School dropouts wa Kenya au Uganda wamejazana sana mambele kwa sababu ya lugha.

Ukifika UAE, Qatar na maeneo mengine mengi, wafanyakazi wengi kutoka East Africa ni wakenya na waganda.

Graduates wa Tanzania tu, lugha ya malkia inawapiga chenga.

Nyerere alizingua sana kufanya kiswahili kuwa lugha ya taifa. Imelemaza watanzania wengi.

Watanzania wengi wanakosa fursa, maarifa na taarifa nyingi sana, kisa hawajui lugha ya malkia (kimombo).

Na taarifa nyingi zipo kwenye lugha ya kingereza.
 
They are hypocrites because they forced Africans to leave their traditional beliefs and used intimidation and threats to make Africans accept their religions, but today they don't want Africans to leave their religions.
Now the wheel have turned. in America if you are religious you cant leave peace, because of the "WOKE" people and people of the rainbow, which by the way was introduce by the people who don't follow religion because you cant be religious person if you allow abortion, gender transition, homosexuality. And now days people who dont follow those are the one who suffer
 
Ndio maana wakenya na waganda wamesambaa kila pembe ya dunia kwa sababu ya lugha.

School dropouts wa Kenya au Uganda wamejazana sana mambele kwa sababu ya lugha.

Ukifika UAE, Qatar na maeneo mengine mengi, wafanyakazi wengi kutoka East Africa ni wakenya na waganda.

Graduates wa Tanzania tu, lugha ya malkia inawapiga chenga.

Nyerere alizingua sana kufanya kiswahili kuwa lugha ya taifa. Imelemaza watanzania wengi.

Watanzania wengi wanakosa fursa, maarifa na taarifa nyingi sana, kisa hawajui lugha ya malkia (kimombo).

Na taarifa nyingi zipo kwenye lugha ya kingereza.
Nakubaliii.
 
Mbona kama watu wanalazimishwa , kama mtu hajui kwani ni kosa ...Duniani ni mtihani kila mtu anavutia kwake , mwisho wa siku tukakufa .

Kingereza ni ustaarabu wa wazungu basi ni dini pia ni yale yale .
 
Mzee usipojua lugha ya malkia utakaa tu hapo bongo uwe chawa wa ccm, miaka yako yote.
 
Mawazo yako wala sijawahi kufikria kwenda nje , watu wote hatuwezi kuwa sawa ...Nipo duniani huru sio mfungwa .

Huoni na wewe una matatizo , unalazimisha dini yako (kingereza) kwa kila mtu .
 
Mbona kama watu wanalazimishwa , kama mtu hajui kwani ni kosa ...Duniani ni mtihani kila mtu anavutia kwake , mwisho wa siku tukakufa .

Kingereza ni ustaarabu wa wazungu basi ni dini pia ni yale yale .
Utamaduni Kama ilivyo dini Mana huwezi kuwa Mrumi bila kuongea Kama Mrumi kuvaa Kama Mrumi yaani ni Yale Yale tu.
 
Hamna kipya binadamu ni wale wale ..Tufikiria binadamu mwenye freewill , kama unaona ni sawa basi hii mada yako ya dini ni utapeli kama kulazimishwa lugha .
Kuna aliye au anaye kulazimisha kujua lugha ya kiingereza?

Kama hakuna aliyekulazimisha. Pia acha ambao wanataka kuijua wajifunze.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom