Black people hate everything about slavery except religion

Ndio maana wakenya na waganda wamesambaa kila pembe ya dunia kwa sababu ya lugha.

School dropouts wa Kenya au Uganda wamejazana sana mambele kwa sababu ya lugha.

Ukifika UAE, Qatar na maeneo mengine mengi, wafanyakazi wengi kutoka East Africa ni wakenya na waganda.

Graduates wa Tanzania tu, lugha ya malkia inawapiga chenga.

Nyerere alizingua sana kufanya kiswahili kuwa lugha ya taifa. Imelemaza watanzania wengi.

Watanzania wengi wanakosa fursa, maarifa na taarifa nyingi sana, kisa hawajui lugha ya malkia (kimombo).

Na taarifa nyingi zipo kwenye lugha ya kingereza.
Sio Nyererw alizingua yeye alikuwa sahihi kama wewe ulivyo sahihi katika mada yako,huwezi kuwashangaa watu kwa kukumbatia mila na desturi za wazungu na waarabu ilihali wewe mwenywe unaandika kwa kutumia lugha ya huyo huyo mkoloni-huo ni uendawazimu.

Ni fedhea kutumia mila na destruri za watu wengine,kama lugha halafu useme wewe ni mtu huru,ndio maana Nyerere aliacha lugha ya kiswahili na katika hilo alifanikiwa.
 
Huu sio utumwa?
Utumwa ni kulazimishwa kufanya jambo fulani bila wewe kupenda.

Hakuna anayefosi mtu kujua au kujifunza kiingereza.

Lakini lugha ya mawasiliano duniani ni kiingereza.

Sasa kama mtu ataona kujifunza kiingereza ni utumwa sawa abaki na kiswahili chake.

Hakuna wa kumzuia.
 
Kwa hiyo unashauri watu waache kabisa kujifunza kiingereza kwa sababu ni utumwa wa kizungu?
 
Shuleni tulikuwa tunalazimishwa tuongee kiingereza na wale swahili speakers walikuwa wanapewa adhabu, naamini hadi leo zipo shule kama hizo.

Unaitwa kwenye interview wanakuuliza kwa kiingereza, unasemaje sasa kwamba hulazimishwi kusoma kiingereza?
 
Shuleni tulikuwa tunaambiwa tuongee kiingereza na wale swahili speakers walikuwa wanapewa adhabu, naamini hadi leo zipo shule kama hizo.

Unaitwa kwenye interview wanakuuliza kwa kiingereza, unasemaje sasa kwamba hulazimishwi kusoma kiingereza?
Hizo ni sheria za shule sasa.

Lugha ya mawasiliano duniani ni kiingereza.

Lakini kama mtu ataona Kiingereza ni utumwa basi aache kujifunza abaki na kiswahili chake.
 
Ni sheria za shule zenye utumwa ndani yake hili huwezi bisha. Unahitaji elimu na kila mtu anajua umuhimu wa elimu lazini unalazimishwa kuongea lugha flani.
Unavyobisha inashangaza sana.

Jiulize kwanini hatukulazimishwa kuongea kifaransa. Sababu ni kwamba aliyetutawala ni muingereza na sio mfaransa.
 
Kwa hiyo unashauri watu waache kabisa kujifunza kiingereza kwa sababu ni utumwa wa kizungu?
Kwa tulipofikia huwezi sema watu waache kujifunza kiingereza. Imeshakuwa ni lugha muhimu kwenye kila sekta. Tungekomaa na kiswahili chetu tangu enzi za mkoloni labda sasa hivi kiswahili kingekuwa ni lugha kubwa zaidi ya ilivyo sasa hivi.
 
Kiingereza ndio lugha kuu ya dunia kwa sasa.

Kama mtu anaona kiingereza ni utumwa aachane nacho.

Abaki na uzalendo wake wa kiswahili hapo Tz.
 
Sasa kwanini unakataa utumwa mmoja (Dini) na kukubali utumwa mwingine (Lugha),.. kama usemavyo?

Kwahiyo watu watakua sahihi wakisema wewe ni mtumwa kwa kuacha lugha za mababu zako na kuhubiri lugha ya kigeni?

Kama unaona kufuata lugha za kigeni ni sawa,. basi unakosa kigezo cha kulaumu watu kufuata Dini za kigeni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom