Black Girls Killing It

Black Girls Killing It

180222_390337277691566_507678973_n.jpg

428400_390681420990485_1000838856_n.jpg

so sexiest
 
wengi wamejongeza kidog (uzuri wa dukani)
 
Aslilima kubwa sana ya hao wote wamevaa 'uniform' yaani wamevaa viatu virefu.
Naona katika swala la viatu, wote hawana ubunifu. Waneishia kuvaa viatu virefu.
 
Kuna mtu anasema "si racist na kuwaita [Wazungu] pigs" wewe unaenda unasema "good comment my bro" kisha unajitetea kuwa huna msimamo kama wake?!

Narudi tena Mwalimu,nimesifia comment yake sababu nimemuelewa kama anasema "kwa wasichana wazuri kama hawa nani anataka kuchumbia nguruwe".Na ndio maana na mimi nikamwambia kuwa "tatizo baya kupita yote ni kuwa warembo weusi wazuri kama hawa hupenda kuchumbiwa na hao unaowaita Nguruwe",Sasa mwalimu hapo mimi ubaguzi wangu unatoka wapi..??
 
Mkuu hawa watu wanatisha! Am living in their midst daily kuosha macho!
 
Hapa naona gizaaaa tu....

Moyo wala kushtuka hakuna.... noo..
type yangu hakuna hapa
 
Wewe nawe na cheap arhuments zako!... ukitafuta kasoro ama kuchangia iwe constructive.
Wewe ndio umeoma nilichokisema sio constructive, na ninaheshimu maoni yako. But only a forum ya watu ambao hawajithamini ndio wanaweza kubandika makurasa na makurasa ya mapicha ya kusifia wanawake wazuri bila kuweka hata mmoja wa kwao. Forum ya Mmarekani haiwezi kamwe kubandika mapicha ya warembo wa Kiafrika.

Wanawake wenyewe unreachable, sasa tuangalie mapicha halafu tufanyeje, tukaoge maji baridi? Na hata kwa wale ambao wana access nao, sad truth is kwa African American women wewe Mbongo ni mshamba usiyejua hata nyimbo za kumuingilia nazo, uliyekimbia vita na njaa kwenu huko, kukutolea namba mara nyingi labda awe ni oversize southern bumpkin aliyekataliwa na fashion sense ya Amerika, la kama ni mwembaba basi ni yule heroin fiend asiye na meno, ambao hata hao nao lazima umlipe hela kumuoa upate makaratasi!

Kwa hiyo ninapodai kuwekewa mapicha ya kina dada wa Kiafrika, Kitanzania, usinibeze kaka, ninataka kuelekea ninakokubalika, kwa watakaonifanya nijisikie a proudful African man, kwa watakao ni treat kama dume la mbegu.
 
You're so naive hata kukupa jibu la kukusaidia ni useless!Mbona mademu vitu vya kawaida kwa wengine?Eti hakuna nyimbo,kweli you're so naive hata kukujibu inakuwa shida ntaanzia wapi.Usiongee kama unafahamu watu wote humu,ukiwekewa picha za mademu wa kimarekani ambao watu washawadate utashangaa kumbe hujui kitu.Ukionyeshwa vitu watu walivyokimbiza utatokwa mimacho kama una imani za kijinga hivyo kuhusu waafrika wanaoishi US.Eti kukutolea namba inakuwa shida,kweli hujui kitu wewe ni mtu wa kupewa stori tu.

Halafu hii ni thread moja tu kwenye hii forum,thread hii haiwakilishi forum yote,una uhuru wa kufungua nyingine yenye kuwawakilisha hao wanawake unaowataka.Halafu hata kama wangeweka picha za mademu wa kibongo,inaonyesha bado ungeoga maji baridi tu.Ukitaka picha za wanawake unaowafahamu unajuwa pa kwenda acha ushamba wewe!

Hizi picha hazina shida yoyote ile,wewe ndo una shida ,tena kubwa sana.Endelea kulima mihogo,maana inaonyesha ndiyo shughuli yako uko ulipotokea kwenye njaa.
 
Princes Diana R.I.P, once said, CLOTHES MAKE A WOMAN.
 
hata nikiweka hutaamini.
Acha longolongo, mwenyewe umedai nikiwekewa picha za mademu zako hapa nitashangaa, unaambiwa weka unaanza oooh mie, nikiweka hutaamini... Weka!

Halafu una akili za kitoto sana.
Sawa, lakini sioni tatizo la maoni niliyoyatoa, kwamba ni jamvi la watu wenye very scant sense of self worth ndio wanaweza kubandika makurasa na makurasa ya mapicha ya warembo, halafu hamna hata mmoja wa kwao!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom