FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,422
vERY NICE THREAD WEKA ZINGINE
Nikiweka kwasababu ni wewe umetaka basi nitakuwa mjinga kuliko wewe.Acha longolongo, mwenyewe umedai nikiwekewa picha za mademu zako hapa nitashangaa, unaambiwa weka unaanza oooh mie, nikiweka hutaamini... Weka!
Sawa, lakini sioni tatizo la maoni niliyoyatoa, kwamba ni jamvi la watu wenye very scant sense of self worth ndio wanaweza kubandika makurasa na makurasa ya mapicha ya warembo, halafu hamna hata mmoja wa kwao!
Okay, kwa hiyo tunakubaliana kwamba mwenye idea za kuweka picha za mademu zake hapa ndio mjinga, na aliyetoa idea hizo ni wewe! Kituko cha mwaka, sijawahi kuona mtu katishia kubandika picha za mademu zake hapa zaidi yako. So puerile.Nikiweka kwasababu ni wewe umetaka basi nitakuwa mjinga kuliko wewe.
acha longolongo, wewe ndio umesema nitashangaa ukiweka picha za mademu zako humu, sasa ili tuone kama nitashangaa, weka!... una low self esteem na ndiyo maana unashangazwa na mbongo kudate mmarekani unayemwona ni mzuri.
Kakojoe ulale,ukikuwa utaacha ujinga.Okay, kwa hiyo tunakubaliana kwamba mwenye idea za kuweka picha za mademu zake hapa ndio mjinga, na aliyetoa idea hizo ni wewe! Kituko cha mwaka, sijawahi kuona mtu katishia kubandika picha za mademu zake hapa zaidi yako. So puerile.
acha longolongo, wewe ndio umesema nitashangaa ukiweka picha za mademu zako humu, sasa ili tuone kama nitashangaa, weka!
Nadhani umekoma kuleta vimichongo vya ki teenager humu eti "ukiletewa picha za wanawake nilio wa date..." kumbe longolongo tupu.Kakojoe ulale,ukikuwa utaacha ujinga.
Hakuna ujumbe wowote,usiingilie uhuru wa watu kwa akili yako fupi kama maisha ya funza,uwekewe picha unazotaka wewe ni nani?Na wewe anzisha thread ubandike mapicha ya mademu wa kwenu.Nadhani umekoma kuleta vimichongo vya ki teenager humu eti "ukiletewa picha za wanawake nilio wa date..." kumbe longolongo tupu.
Namalizia nilipoanzia: Ni kituko kwa forum la Waafrika kubandika makurasa na makurasa ya warembo halafu hakuna hata mmoja wa kwao. Watu wanaojithamini wakibandika makurasa ya mapicha na mapicha na mapicha ya warembo lazima watajumuisha na wenzao wa kwao!
Ujumbe wangu umefika.
Wewe ndio umesema una mapicha ya mademu zako wa Kimarekani ukibandika hapa tutashangaa. Bandika!uwekewe picha unazotaka wewe ni nani?
Unataka kupiga nyeto?Wewe ndio umesema una mapicha ya mademu zako wa Kimarekani ukibandika hapa tutashangaa. Bandika!
Hakuna mtu hata mmoja katika historia ya JF aliyewahi kutoa kimchongo famba kama hicho kwa kutishia kubandika picha mademu zake hapa eti watu washangae. Ni Kituko na ukubwajinga usio na mfano.
Nikimwekea ataamini vipi na keshasema wabongo hawana ubavu wa kuchukua michuchu ya nguvu?Lets say naweka picha,ni kitu gani kitakachomfanya aamini hata kama nikiweka?Ok,lets say ninaweka ambazo na mimi nipo,huyu mluga mluga hanijui,hanifahamu,hajawahi kuniona.Anavyong'ang'ania inaonyesha uporipori wake.Siwezi kumridhisha mjingamjinga.jmushi1
Muwekee picha ashangae bwana unamuonea huruma kitu gani?
Nikimwekea ataamini vipi na keshasema wabongo hawana ubavu wa kuchukua michuchu ya nguvu?Lets say naweka picha,ni kitu gani kitakachomfanya aamini hata kama nikiweka?Ok,lets say ninaweka ambazo na mimi nipo,huyu mluga mluga hanijui,hanifahamu,hajawahi kuniona.Anavyong'ang'ania inaonyesha uporipori wake.Siwezi kumridhisha mjingamjinga.
Kama ni kushangaa keshashangaa hizo ambazo zimeshawekwa,zinamtosha.
Na wewe unataka kushangaa?Hapa sio suala la kuamini au kutoamini ni suala la kushangaa tu baaaas.
Weka ashangae au ulikuwa unatania?
Weka!Lets say naweka picha...Ok,lets say ninaweka
Sasa kwa nini ulitishia nyau kwamba utaweka picha zao hapa tushangae? Ghafla unaionea aibu mizigo yako ya kinugu, ooh mimi ninao, ooh nitabandika picha... Bandika!Nikimwekea ataamini vipi
Unataka kupiga nyeto?Weka!
"Let's say naweka" my foot! Weka!
Kwa upori pori wako ukadhani ni bonge la badge of honor kutishia kwamba una mapicha ya mademu zako wa kinugu na ukiziweka hapa tutashangaa mademu wa JMushi, waweke!
Sasa kwa nini ulitishia nyau kwamba utaweka picha zao hapa tushangae? Ghafla unaionea aibu mizigo yako ya kinugu, ooh mimi ninao, ooh nitabandika picha... Bandika!
talk is cheap, umesema unaweza kubandika picha za mademu zako hapa, bandika!Unataka kupiga nyeto?
Kakojoe ulale..talk is cheap, umesema unaweza kubandika picha za mademu zako hapa, bandika!
I am sure you learned a valuable lesson, never to yap about something you can't do.