Black American's na Black South Africans kwanini wanafanana kitabia hawa jamaa?

Wana njaa.

Mtu unayehisi anataka akutibulie fursa yako na wewe humuwezi utamuanzishia zengwe.

Pia,mtu mwenye tania mbaya,mwizi ,asiye muaminifu kazini. Ukijiweka mbali naye , badala ya kubadilika tabia yeye atalalamika tu anabaguliwa.

Wanaojihisi kubaguliwa wajitathmini. Kinachobaguliwa sio rangi bali tabia za mwenye rangi. Rangi ni njia rahisi za kumtambua
 
Wasauzi weusi wana roho mbaya sana na kumuogopa mzungu hata akiwa mtoto mdogo na kumbagua mweusi mwenzie na ni wavivu sana wanachofikiria wao ni kuua na kuiba tuu..SA wazawa wengi wanategemea kuiba ili waishi ndio maana wamejaa sana kwenye jela zao...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom