Black American's na Black South Africans kwanini wanafanana kitabia hawa jamaa?

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
3,804
12,241
Wasalaam

Mlioishi na hawa jamaa kwanini Tabia zao zinafanana ilihali wanaishi nchi na bara tofauti.

Wote ni wabaguzi , ni heri amsaidie mtu mweupe kuliko mweusi mwenzie.

Wana unyani Fulani hivi wa kujisikia na kujiona wao ni blacks daraja la kwanza.

Uvivu , hili halipingiki angalia maeneo wanayoishi ni watu ambao sio wa kujituma kufanya kazi.

Ugomvi na ukorofi, tunaona kwenye movie zao au harakati zao kwenye media.

Kwenye mapenzi, we mweusi wa kutoka nchi nyingine ni kupata mpenzi wa kizungu ila sio black mwenzako.

Kiujumla wanafanana kwa vitu vingi.

Mlioishi nao kwanini wanafanana kitabia ?
 
Wote ni wauza sembe, pia wengi wamechanganyikiwa na wengi hawajui wapi ni kwao,wengi hawawajui baba zao,ni full msongo wa mawazo.
 
Hawa lazima wafafane sababu wamepitia kitu kimoja. Wakati waafrika wengine tumepitia ukoloni hawa wameishi na mzungu direct akiwatesa live live.

Wakati wa kufutwa utumwa na mataifa kugezwa makoloni hawa walikuwa wanapitia kitu kinaitwa Oppression na Systematic racism ambayo waafrika mataifa mengine hawajapitia.

So lazima wafanane.

Ulaya wamepitia Black people civil oppression kwenye nyakati zile za sheria za akina Jim crow, huku South Africa wakapitia kitu wanaita Apartheid.
 
Miaka 500 ijayo bado hiki kitakuwa kisingizio tu nadhani
 
wote WaAfrica tu.....
mmoja yuko Africa kwa nchi waliojengewa na wakoloni mwingine yuko America bado akiumwa colonial mentality disease..
 
Ila hawa wasouth Africa kiukweli wamezidi, bora hata hao mablack wa America kwa kuwa huko kwao ni mbali na bara letu la Africa,

So tunaweza kusema labda wameiga tabia za kibaguzi kwa wazungu kwa kuwa wapo nao na hawana mpaka na nchi za watu weusi,,,

Ila hawa wakina sibongile mamaae zao tupo nao humu humu barani Africa lkn wana ubaguzi balaa,,,

siphokazi yuko radhi anyanduliwe na kaka yake shilingi asipewe na makofi juu japo huyo kaka yake teja kuliko kukupa wewe kondo dibwine ambaye unamnunulia bia na hela juu,,
 
Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom