Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 3,981
- 12,996
Wote ni wauza sembe, pia wengi wamechanganyikiwa na wengi hawajui wapi ni kwao,wengi hawawajui baba zao,ni full msongo wa mawazo.Wasalaam
Mlioishi na hawa jamaa kwanini Tabia zao zinafanana ilihali wanaishi nchi na bara tofauti.
Wote ni wabaguzi , ni heri amsaidie mtu mweupe kuliko mweusi mwenzie.
Wana unyani Fulani hivi wa kujisikia na kujiona wao ni blacks daraja la kwanza.
Uvivu , hili halipingiki angalia maeneo wanayoishi ni watu ambao sio wa kujituma kufanya kazi.
Ugomvi na ukorofi, tunaona kwenye movie zao au harakati zao kwenye media.
Kwenye mapenzi, we mweusi wa kutoka nchi nyingine ni kupata mpenzi wa kizungu ila sio black mwenzako.
Kiujumla wanafanana kwa vitu vingi.
Mlioishi nao kwanini wanafanana kitabia ?
Barack Obama sio Black Mzee, ni mtu aliyezaliwa kwenye familia ya kizungu na kukulia uzunguni.Acha kumzungumzia barack obama
Ni madhara ya kubaguliwa, wamejifunza ubaguzi ingawa siyo wote.Barack Obama sio Black Mzee, ni mtu aliyezaliwa kwenye familia ya kizungu na kukulia uzunguni.
Mi nazungumzia hawa mablack wa kujiona wao ni grade A.
Miaka 500 ijayo bado hiki kitakuwa kisingizio tu nadhaniHawa lazima wafafane sababu wamepitia kitu kimoja. Wakati waafrika wengine tumepitia ukoloni hawa wameishi na mzungu direct akiwatesa live live.
Wakati wa kufutwa utumwa na mataifa kugezwa makoloni hawa walikuwa wanapitia kitu kinaitwa Oppression na Systematic racism ambayo waafrika mataifa mengine hawajapitia.
So lazima wafanane.
Ulaya wamepitia Black people civil oppression kwenye nyakati zile za sheria za akina Jim crow, huku South Africa wakapitia kitu wanaita Apartheid.
Hadithia kidogo mkuu....yanayojiri pande hizoNiliwahi kuishi miji yenye mablack wengi kama South Centra LA na Kensington Philadefia, asee kama umeupitia ule uzi wa Mwananyamala wa Mshana Jr ni mulemule
Nadhani haujanielewa niliposema wamepitia similar treatments chini ya watu weupe through systematic oppression and racism.Miaka 500 ijayo bado hiki kitakuwa kisingizio tu nadhani