Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,913
- 133,926
Huyu ni mmojawapo kati ya watu waliolishauri taifa kabla ya maafa kutokea. kulikuwa na namna zote za kusuluhisha jambo linalokabili taifa letu kwa sasa
Hatukuwa na haja ya kufika hapa tulipo, kwa jambo ambalo tungeweza kusikilizana na kupokea mashauri yaliyokuwa yakitolewa na wazalendo wenzetu.
Tumefika hapa tulipo kwa sababu ya sauti hizi zilipokataliwa kusikiwa na watawala. Kama CCM na Samia wangemsikiliza Gwajima na kushtushwa na maonyo ya Tundu Lissu tusingefika hapa