Bishop Gwajima je siku 10 hazijaisha? Acheni mikwara mbuzi kwa Serikali

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
17,562
Reaction score
27,633
Ilikuwa tatehe 15 August, na leo ni tarehe 21 Septemba, zaidi ya siku 35.
 
Ilikuwa ni suala la muda tu, alikuwa haamini kama serikali imefungia kiringe chake
 
Ngozi nyeusi tuna shida sana. Serikali anaiweka madarakani yeye kupitia kura yake ila bado anaiona kama Mungu wake ndio wewe jamaa, umasikini kitu kibaya sana kinaharibu mpaka akili.
Gwajima aliiweka Serikali gani madarakani? Acha kumtetea TAPELI aliyejificha kwenye kichaka cha Biblia
 
Kuamini kwamba serikali haipaswi kuwajibishwa ni ukosefu wa akili,Gwajima yupo sahihi sana
Kwanza atuonyeshe watu aliofufua ndiyo tuhamie mada yako. Kakutana na watu tu wana frustration wanampa sadaka kwa kisingizio cha kufufuliwa ndugu zao.

Hivi kwa nini alishindwa kumfufua Magufuli aliyempa ubunge wa Kawe mwaka 2020
 
Gwajima aliiweka Serikali gani madarakani? Acha kumtetea TAPELI aliyejificha kwenye kichaka cha Biblia
Unazidi kujidhihirisha kuwa una tatizo mahali, kama comment yangu ya kawaida kabisa hivo umeshindwa kuielewa na umejibu kitu sijakuuliza, basi CCM itadumu sana kwakweli
 
Nenda ukasali huko ambako mmetekwa akili, mnakwenda kama mazombie tu
 
Serikali yoyote duniani haijawahi shindwa na mtu mmoja halafu serikali ikiwa chini ya CCM ndo huwa haina masikhara kabisa. Gwajima alikuwa anachezea moto kaishia kuungua.
 
Kwanza atuonyeshe watu aliofufua ndiyo tuhamie mada yako. Kakutana na watu tu wana frustration wanampa sadaka kwa kisingizio cha kufufuliwa ndugu zao.

Hivi kwa nini alishindwa kumfufua Magufuli aliyempa ubunge wa Kawe mwaka 2020
Kwani mada si ni wewe ndio umeanzisha?kwa nini hukuanzisha ya kufufua watu?
 
Unazidi kujidhihirisha kuwa una tatizo mahali, kama comment yangu ya kawaida kabisa hivo umeshindwa kuielewa na umejibu kitu sijakuuliza, basi CCM itadumu sana kwakweli
Wewe umemjua Leo hiyo Stuxnet ni mpuuzi Fulani na ana chuki ya wazi kuanzia JPM
 
Kwanini nifiche chuki? Ukimchukia mtu unaeeka wazi na sababu unazitaja. Mimi ninezitaja, mnapaswa mzi challenge sababu zangu
 
Back
Top Bottom