PreGE2025 Bishop Gwajima atangaza Maombi ya siku 7 kuwaombea Lissu, Kitima, Mdude, Soka , kuomba Mungu ashughulike na Watekaji ili utekaji Ukome

PreGE2025 Bishop Gwajima atangaza Maombi ya siku 7 kuwaombea Lissu, Kitima, Mdude, Soka , kuomba Mungu ashughulike na Watekaji ili utekaji Ukome

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Jino kwa jino bampa tu bampa , ugoko kwa ugoko, dunia yenyewe haitaki watu wadhaifu na waoga , ingekua ni kumwachia huyo Mungu ungekuta Israel ama Palestine imeshafanya hivyo kitambo
Lakini si unaelewa kuwa vyombo vya dola ndo vipo mbele kum support bibi kizee??

Bampa to bampa tunaenda nao vipi hapo??
 
😂
Na kama Mungu yupo bc yupo zake busy kupambana wagonjwa na wenye shida mbalimbali ila sio hilo la utekaji wakati wahusika wanajulikana na mwisho wa mwezi huu wamelipwa mishahara
Braza hili nakumwachia Mungu hata gwaj anajua ni porojo tu, kumbuka pale yupo Church kuzidaka za vilaza🤔
 
At least anajaribu na itasaidia kuwaamsha watu wajue hali halisi ya kinachoendelea, tuone kama watatuma polisi wao kukamata wanao ombea Taifa
Labda itumike kama njia ya kuleta attention tu ila kama ni kutegemea maombi mtaomba mpaka mchanike midomo na watu watalamba asali na kuteka na kubaka kama kawa.
 
Mtajua mwenyewe bwashee ,mimi nilishawapa masharti wakiweka b 1 kwenye account yangu nakuwa chawa , na sitacheka na yeyote.
Hawajakuwekea sasa mkuu, nini utafanya ili kuyapata hayo mabadiliko tunayo yahitaji, maana mpaka sasa hata SUMBAWANGA napo wametuangusha 😎
 
Wenzetu wakiiingia barabaran kuwaondoa mafisadi,cc wa Tz tunajidai na maombi km tunakemeaa mapepo ingali wezi wanaendelea kuibaa miaka na miaka Toka hayo maombi hewa yaombweee 🤔🤔
Ingia wewe barabarani
 
Kwa hiyo ulivyo mjinga unaona Gwajima hakuna anachofanya watekaji waachiwe watambe tu bila kusemwa!
Anafanya jambo kubwa sana kwa kusema ukweli na kuwasanua vilaza ,ila la kuomba sio solution, usiniwekee maneno mdomoni bwashee, tafadhali sana🙏
 
Kwa hatua iliyofika maombi hayana msaada.

Hao watekaji ni kudeal nao kama wanavyokuja huku ukichukua tahadhari zote .

Hatua iliyofika ni kama kuna uwepo wa magenge ya vibaka ambayo yana baraka za utawala hivyo watu wakipata nafasi wafanye kama wale wananchi wa Tegeta kwa ndevu walivyowafanya wale watekaji na jaribio lilipofeli wakageuza story kuwa walikuwa maafisa wa TRA.
 
Back
Top Bottom