Bishop Desmond Tutu aanzisha chama cha mashoga!

Bishop Desmond Tutu aanzisha chama cha mashoga!

Status
Not open for further replies.
Halafu hawa Waliberali na wao hata KUCHAGUA??

Sasa nzee kama hii hayo makalio yenyewe yamekunjana kwa umri!
Si bora hata wangelimuijia huyu wa kwetu hapa Bongo! Kidogo kajazia!!
Teh teh teh teh!

Au we Nyakageni na Cureone mnaonaje??

Wanasema "Ukitaka kula nguruwe, basi chagua ALIYENONA"

teh teh teh teh! Duhh!
 
Last edited by a moderator:
Ni hivi kuna uwezekano mkubwa miongozo iliyopo duniani huijui vizuri .bas me nakushauri tafuta Quraan uwe unasoma.itakusaidia kujua upande wa pili ukoje.
katika uislam hakuna kulazimishana its upon to you.

Mkuu ukisema miongozo Ambayo naweza Nikawa siifahamu unamaanisha Nini?
 
Ni kweli hapa sio mahala pake lkn mkuu! We huoni ma profesa wa biblia wanaingia ktk uislamu kila siku!?
We unadhani hio ni bahati mbaya!?

Hebu wasikilize hawa kidogo uone mwenyewe je! Ni shetani kawadanganya? Au ni watu waliosoma na wakatumia akili MUNGU alizo wapa na kufikia kuuacha UKRITO!

Watch "Christian priest who converted to Islam. (HARUNYAHYA)" on YouTube - https://www.youtube.com/watch?v=hfYrD_VJ9aY&feature=youtube_gdata_player

Na hawa pia

Watch "Muslim | Ex-Roman Catholic Priest- A Journey Of Conversion To Islam" on YouTube - https://www.youtube.com/watch?v=nHBY2nGxJS8&feature=youtube_gdata_player

Na huyu mwafrika kama mimi na wewe

Watch "Black German Priest convert to Islam" on YouTube - https://www.youtube.com/watch?v=BFxdL1XjxfI&feature=youtube_gdata_player

Mkuu Hao maprofesa wasikutishe kwasababu unaweza ukakuta ni wasomi wazuri lkn misimamo Yao Km kina Tutu!

Wewe ulitegemea Tutu kwa dhama aliyokua nayo ktk jamii angefanya kiroja Km hicho?
 
Ni kweli hapa sio mahala pake lkn mkuu! We huoni ma profesa wa biblia wanaingia ktk uislamu kila siku!?
We unadhani hio ni bahati mbaya!?

Kweli sio bahati mbaya maana kuna mamilioni ya wanaume wanakuwa mashoga kila siku ........!!!!!!!
 
Mkuu samahani! Lkn huoni Km hii inaharibu kabisa sura ya Ukristo na kupoteza maana kabisa? Maana kwa mtu ambaye Amekua anaongoa watu na kulihubiri jina la Yesu sn, sasa Leo anafanya mambo Km haya! Nini athari za zile roho alizoziongoa? Au ukristo kwa ujumla? Hasa kiza hichi na watoto wetu?

Kama kuna mtu anauangalia Ukristo kupitia mang'aa kama hao atakuwa na walakini kwenye ubongo wake ....!!!!!
 
Unadhani Uislam na Ukatoliki ni tofauti kama unavyodhani?

Najua utabisha na kutoa povu
Hebu google huyu mtu anaitwa Cardinal Augustin Bea utajua ukweli mkubwa ...!!!!!!!

Ahhhh! BABA PAROKO!! Mzee wa viuno kama Nyigu! Why it took you soo long?? au unaona aibu kumuona mzee KUVUNJA BISCUTI PIA HAWEZI!

teh teh teh teh!,

kwanza WAKATOLIKI NA WAGALATIA WENGINE WOTE WANAABUDU MASANAMU!

Waislamu NI MARUFUKU HATA KUWEKA PICHA MSIKITINI!

Wakatoliki na nyie mliobaki mna miungu watatu,!

WAISLAMU WANA MUNGU MMOJA TU.

WAKATOLIKI WANAMSHIKISHA MUNGU JUMAPILiI na nyie MNAMSHIRIKISHA MUNGU JUMAMOSI!

WAISLAMU WANAABUDU IJUMAA!

Na KILA KITU NI TOFAUTI,

Sasa usione aibu wewe! Huyo BIBI DESMOND, ALIKUWA CHAKULA LOOONG TIME AGO.
 
Mkuu Ntuzu hebu mueleze huyo 2013!
Vatican uliberali umejaa! Na ubakaji wa watoto. LEO BISHOP WA AFRIKA YABKUSINI YOTE!
Na huyu 2013 kazi kusema ohh binaadamu ohh binadaamu.
Vatican wanaweza kuwa mang'aa kama wengine tu

Pia kikiwepo na ushoga Vatican watajijua wao

Kiongozi wetu ni maandiko matakatifu ya npekee yaliyoko Duniani ambayo ni Biblia Takatifu!!
HAO KWA TAARIFA YENU NDIO KICHWA CHA KANISA.
Nilishakukanya kusema uongo hadharani namna hii lakini huachi
Kwanini?

Nani alikuambia hao mang'aa ni kichwa cha kanisa?
Unajua kanisa nini wewe maamuma?

Hebu angalia hapa Biblia inasema nani ni kichwa cha kanisa
Efe 5:22
22 Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili.

Endeleeni kujifanya hamuoni! Muda si mrefu UKRISTO WOTE UTAGEUKA ULIBERALI.
Nani amekuambia kuwa Vaticani ni Ukristo?

Ukristo ni nini?
 
Ahhhh! BABA PAROKO!! Mzee wa viuno kama Nyigu! Why it took you soo long?? au unaona aibu kumuona mzee KUVUNJA BISCUTI PIA HAWEZI!

teh teh teh teh!,

kwanza WAKATOLIKI NA WAGALATIA WENGINE WOTE WANAABUDU MASANAMU!

Waislamu NI MARUFUKU HATA KUWEKA PICHA MSIKITINI!

Wakatoliki na nyie mliobaki mna miungu watatu,!

WAISLAMU WANA MUNGU MMOJA TU.

WAKATOLIKI WANAMSHIKISHA MUNGU JUMAPILiI na nyie MNAMSHIRIKISHA MUNGU JUMAMOSI!

WAISLAMU WANAABUDU IJUMAA!

Na KILA KITU NI TOFAUTI,

Sasa usione aibu wewe! Huyo BIBI DESMOND, ALIKUWA CHAKULA LOOONG TIME AGO.

Acha ngonjera nyingi maamuma
Umefanya niliyokuagiza??
 
hawa viongozi wa dini na wa jamii zetu kwa ujumla wangekuwa wanatuambia ukweli wa mambo tangu tunazaliwa ili tusishangae wala kupata kichefuchefu...mtu unalelewa kudanganywa kila wakati...wangesema ukweli kuhusu mambo mengi mf. ushoga, kukosekana uaminifu katika ndoa, etc. watu tungekuwa hatushtuki...lakini wanakwambia dhambi dhambi wakati ukweli wanaujua na wanafanya....wanaficha weee mpaka na sisi tunahukumu kwa sababu hatujazoea...kwa upande wangu mtu akiwa shoga atajijua na nafsi yake mradi tu tusikwazane...mambo yake ya chumbani na mwili wake atajua mwenyewe na Mungu...
 
Acha ngonjera nyingi maamuma
Umefanya niliyokuagiza??

Teh teh teh teh!

Mi ntakuweza wapi wewe!?

Mara umeanzisha threads za mambo ya ngono na picha za viuno na makalio makubwa! Na style mbalimbali za mambo yanayofanyika vyumbani kwa siri!

Mara ghafla hapa unamuwakilisha Yesu!

Sasa mi kubishana na wewe ni kama nabishana na kibwengo!

We kwanza unatakiwa kutolewa pepo wa ngono!

Akishatoka nitafute tuendelee!

We maamuma hebu wacha ngonjera bana

Umefanya niliyokuagiza??

Cardinal Augustin Bea ni rafiki yako mzuri tu hebu msome

Ukishindwa msome huyu anaitwa Alberto Riveira atakutoa tongo tongo !!!!!!
 
Unadhani Uislam na Ukatoliki ni tofauti kama unavyodhani?

Najua utabisha na kutoa povu
Hebu google huyu mtu anaitwa Cardinal Augustin Bea utajua ukweli mkubwa ...!!!!!!!

Kweli sio bahati mbaya maana kuna mamilioni ya wanaume wanakuwa mashoga kila siku ........!!!!!!!

We maamuma hebu wacha ngonjera bana

Umefanya niliyokuagiza??

Cardinal Augustin Bea ni rafiki yako mzuri tu hebu msome

Ukishindwa msome huyu anaitwa Alberto Riveira atakutoa tongo tongo !!!!!!

Acha ngonjera nyingi maamuma
Umefanya niliyokuagiza??

Baba upako. Sasa kwa hukumu ya BIBLIA hawa wakatoliki wanaingia ktk Kundi Gani?
Manake unasema ukatoliki na uislamu Ni sawa!

Ina maana hawa SIO WAKRISTO??

Na.kwa.mtazamo wako ni nani mkristo wa kweli?
Manake hakuna dhehebu la kikristo lisilo na waliberali! Kama lipo naomba unitajie ili Nijifunze kupitia kwako.
Baba paroko, mzee wa viuno vya nyigu!

Teh teh teh teh!.
Halafu wee huwezi kuwa Msukuma hata kidogo!

Wasukuma makalio makubwa SIO favourite yao!
We kama sio Mbweinuu (muhaya) basi utakuwa MKEREWE!
 
Kwa nini uwanyonge!?
Mkuu Punjab Singh huyu Koba ni member vilevile!
Tena hawa wako wengi kweli!

Watoto wa kiume kidole juu!
Duhh ama kweli nalia na TANZANIA YANGU!
Ehh baba kikwete Weka amri ya kuwanyonga hawa wakamua vinyesi hadharani! Na mimi naahidi kutoa kura yangu KWA CCM!

Naapa kabisa! Tena mimi najitolea kuwa MNYONGAJI bila mshahara!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom