Bishop Desmond Tutu aanzisha chama cha mashoga!

Bishop Desmond Tutu aanzisha chama cha mashoga!

Status
Not open for further replies.
Wagalatia ndio watu gani mkuu??
Ahhhh! BABA PAROKO!! Mzee wa viuno kama Nyigu! Why it took you soo long?? au unaona aibu kumuona mzee KUVUNJA BISCUTI PIA HAWEZI!

teh teh teh teh!,

kwanza WAKATOLIKI NA WAGALATIA WENGINE WOTE WANAABUDU MASANAMU!

Waislamu NI MARUFUKU HATA KUWEKA PICHA MSIKITINI!

Wakatoliki na nyie mliobaki mna miungu watatu,!

WAISLAMU WANA MUNGU MMOJA TU.

WAKATOLIKI WANAMSHIKISHA MUNGU JUMAPILiI na nyie MNAMSHIRIKISHA MUNGU JUMAMOSI!

WAISLAMU WANAABUDU IJUMAA!

Na KILA KITU NI TOFAUTI,

Sasa usione aibu wewe! Huyo BIBI DESMOND, ALIKUWA CHAKULA LOOONG TIME AGO.
 
Pole sana naona umeumia sana, hivi unataka ushahidi gani tena kwenye hii habari.
Siwezi kuumia kwa kuwa huo mwili ni wa Tutu, sio wangu, na mimi ni muumini wa Liberty, The freedom to live as you wish.
Dini na tamaduni ni perception tu za watu, kujaribu ku criminalise kitu kwa sababu tu ni kinyume na mafundisho ya dini yako au utamaduni wako ni ujinga mkubwa.

Na watu wanaruhusiwa kutafsiri vitabu vya dini kama ambavyo wao wataona inafaa, kulazimisha mtu atafsiri kama unavyotaka wewe nao ni ujinga pia, anyway;

Katika andiko hilo sijaona popote ambapo Tutu amekiri kwamba yeye ni gay, there is no harm is requesting for an exhibition, is there!!???
 
Kwa nini uwanyonge!?

Jamaa yangu unauliza kwa nini huyu mwizi apigwe?

Teh teh teh! Au zile party za jumapili zimeanza mapema?

Waliberali wanatusababishia mafuriko na miji yetu kupigwa RADI!

Hawa wanatakiwa wanyongwe hadharani.
Na mimi najitolea kuwa mnyongaji!
 
Ni kinyume cha sheria kumpiga mwizi;
Lakini hata hivyo, huu mfano hauna uwiano. Mwizi ameiba mali ya mtu, huyo hata mimi nitamkasirikia, Lakini shoga ameiba nini cha mtu!?,
Huo mwili anaoenda kuutumia kinyume ni mali yake halali, kwa nini umpangie matumizi, wewe ni nani mpaka unipangie jinsi ya kutumia mwili!??, sioni hoja hapa mkuu, hebu nifafanulie zaidi ni kwa nini uwe na hasira zaidi na shoga kuliko hata mbakaji!!???
Jamaa yangu unauliza kwa nini huyu mwizi apigwe?

Teh teh teh! Au zile party za jumapili zimeanza mapema?

Waliberali wanatusababishia mafuriko na miji yetu kupigwa RADI!

Hawa wanatakiwa wanyongwe hadharani.
Na mimi najitolea kuwa mnyongaji!
 
Si mngetoa maoni yenu kwenye katiba mpya...

:nono:
 
Thanx for such a vibrant discussion.., so iingizwe tu kwenye katiba kama walivyofanya Uganda & Nigeria.., Wafungwe tuuu.. (in pinda voice) loool..!
 
Wana paroko wako wapi leo??

Teh teh teh teh!

Calling 2013 mgen Nicholas Matola Nyenyere matumbo Eiyer Nkwesa Makambo Cureone na mjusi mwingine yyt!

Teh teh teh teh! Njioni muone mzee mzima lkn watu wanachana makalio yake!

Tutu kama binadam anao mtazamo wake, ungekuwa uegundua kifungu cHA iNJILI AMBACHO TUTU KATUMIA KUAMINI ANAVYOAMINI NINGEKUONA UNA HOJA,MIMI NIKIMTAJA MUHAMMAD NA MATENDO YAKE NI KWA SABABU YEYE NI MBEMBA MAONO,SIWEZI KAMWE KUTAJA SHEIKH AU MUUMINI WA KIISLAM KWA KUWA YEYE SIO ICON YA UISLAM,TUTU SIO ICON YA UKRISTO, BWANA YESU KRISTO NDIYO ICON, ni uze.zeta wa hali ya juu kuhusisha mtazamo wa tutu kkwa kuwa tu alikuwa askofu na yale anayotamani kutenda na kuyatenda ama kuyatetea,awe shoga au awemtetezi wa ushoga kwangu tutu is just another person
 
duh jamani hebu tujifunze kutumia elimu yetu tulo nayo...nimegundua kitu humu kuna wsomi na watu walio elimika daah eti li mtu lina ingiza maswala ya udini leo...nakupa pole wewe unayeona laako ni bora kuliko ya wengine!
 
Wacha zako wewe! Huyo tutu NI MUWAKILISHI WA YESU!
Na HAWEZI KUFIKIA KUPEWA CHEO CHA U ATBISHOP WA AFRICA YA KUSINI YOTE Bila kukubalika NA VATICAN.

Wakati Yule Pop aliposema Waliberali ni rafiki zake. Na akashauri watu wapewe condoms. Poa mlisema haya haya ya kuwa ohhh huyo ni mwanadamu tu!

Sasa nyie si huwa mnaenda hija ROME!?
Umakwenda.kusafisha madhambi yalo kwa Kiongozi mwenye urafiki na MAADUI ZA MUNGU??

Kesi za ULIBERALI zinaongezeka KILA SIKU ndani YA MAKANISA.
Na hii ndio TRUE PICTURE YA WAGALATIA.

Usodomi umekuwa ndio MENU.
jamani mbona wanawake wazuri wengi tu!
Haya ya kutamani wanamme wenzenu hivi vichwa vyenu viko sawa lkn??
 
Maneneo ya YESU:
1. Si wote waniambiao bwana bwana wataurithi ufalme wa Mungu....
2. Mtawatambua kwa matendo yao..... (hapa Yesu alimaanisha kuwa kuna watu ambao watajiita kuwa ni Wakristo, lakini wakiwa na matendo ya uasi sheria za Mungu) hao ni Wakristo wa Uongo....
Kwa hiyo kumjua Mkristo wa Kweli ni kazi rahisi sana..... angalia matendo yake na uyalinganishe na Amri za Mungu za Kwenye Biblia Takatifu.
 
We utaongea maneno haya mbele ya ARCHBISHOP? ?

HUYO mwenzako amesoma BIBLIA KULIKO HATA HUYO KADINALI WAKO!
Na baada ya kushiba andiko KAAMUA KUWA MLIBERALI!

Na wengi tu ktk Viongozi wenu WANAJITANGAZA KILA LEO KUWA WAO NI WALIBERALI.

Lbd ANDIKO LINARUHUSU! Manake hata papa kasema kuwa waliberali ni RAFIKI ZAKE.
Na yeye utasema hilo andiko halijui??
 
Wagalatia ndio watu gani mkuu??

Ni Wakilisito woote vichaa kwa mujibu wa andilo lenu chovu!?...ukiwemo na wewe Mujuni wa Lwambo Lwanzo wa Makiadi!ahahaaa!!

Afu wee Mjuni ni Mkinga nini!?...mbona bado una akili mbovu za kutafsiria watu kizungu chako kibovu humu!?

Mbona Miss Tutu ni Bwabwa la MANDELA MIAKA MINGI TU!!
 
We utaongea maneno haya mbele ya ARCHBISHOP? ?

HUYO mwenzako amesoma BIBLIA KULIKO HATA HUYO KADINALI WAKO!
Na baada ya kushiba andiko KAAMUA KUWA MLIBERALI!

Na wengi tu ktk Viongozi wenu WANAJITANGAZA KILA LEO KUWA WAO NI WALIBERALI.

Lbd ANDIKO LINARUHUSU! Manake hata papa kasema kuwa waliberali ni RAFIKI ZAKE.
Na yeye utasema hilo andiko halijui??

Naona Mkuu Kahtaan,umewabana mbavu hawa Wakilisito wenzangu mazuzu waiotaka kukubali ukweli!ahahaaa!!

Wanazidi kuja na maandiko yao machovu ili kutetea huu ubwabwajiko wa Miss Tutu!

Huyo Mzee na Mandela...mbona woote hao walikua ni mabwabajiko siku nyingi tu Mkuu!!ahahahahaaa!!
 
Maneneo ya YESU:
1. Si wote waniambiao bwana bwana wataurithi ufalme wa Mungu....
2. Mtawatambua kwa matendo yao..... (hapa Yesu alimaanisha kuwa kuna watu ambao watajiita kuwa ni Wakristo, lakini wakiwa na matendo ya uasi sheria za Mungu) hao ni Wakristo wa Uongo....
Kwa hiyo kumjua Mkristo wa Kweli ni kazi rahisi sana..... angalia matendo yake na uyalinganishe na Amri za Mungu za Kwenye Biblia Takatifu.

Naona utingo wako amekuwekea ka-LIKE hapo Mkuu!? ahahaaaa!!

Sisi Wakilisito/Magalatia bana!
 
Wagalatia ndio watu gani mkuu??[/QUOTE C lazima kujadiri imani za wa2 kwenye jukwaa la siasa,peleka hayo maujinga yenu misikitini na makanisani,co kila m2 anamini hyo mizimu inayofukua miili ya m2 kaburini zaidi ya mara tatu.

Wee Jaluo Otieno...acha ngebe hizo!

Peleka uchafu wako wa hizo dini za mizimu ya kishezni kwa wale Waafrika wenzao kule Kenya kulikooza kwa Ukabila!!

Hii ndo Bongo bana!!

Dini mbili tu Ukilisito/Ugalatia na Uislamu...yaani hapa Bongo chaguo ni mbili tu! Hutaki unaacha,umesikia weeJaluo Otieno!?

Haya anza mara moja...nikukute pare Kisumu baada ya risaa rimoja!ahahahaaaa!!
 
duh jamani hebu tujifunze kutumia elimu yetu tulo nayo...nimegundua kitu humu kuna wsomi na watu walio elimika daah eti li mtu lina ingiza maswala ya udini leo...nakupa pole wewe unayeona laako ni bora kuliko ya wengine!

Mkuu acha unafiki!

Udini lazima uwepo hapa kwani huyo Bwabwajiko Miss Tutu ni mtumishi mttifu wa Mungu wetu Yesu Kilisto!
 
Freemason huyo mzee.

Hapana lile bwabwajiko Miss Tutu mbona ni bwabwa la Mandela miaka mingi tu Mkuu...

Sasa hivi limechanganyikiwa baada ya mwenzie kutangulia kwa Mungu Yesu...ndo nalo linaanza kushobokea akina Mbeki na bingwa la uzinzi kiboko ya ukimwi Chief Zuma!! ahahahahaaa!!
 
We utaongea maneno haya mbele ya ARCHBISHOP? ?

HUYO mwenzako amesoma BIBLIA KULIKO HATA HUYO KADINALI WAKO!
Na baada ya kushiba andiko KAAMUA KUWA MLIBERALI!

Na wengi tu ktk Viongozi wenu WANAJITANGAZA KILA LEO KUWA WAO NI WALIBERALI.

Lbd ANDIKO LINARUHUSU! Manake hata papa kasema kuwa waliberali ni RAFIKI ZAKE.
Na yeye utasema hilo andiko halijui??

Soma Maneno ya YESU mwana wa MUNGU:
Mathayo 7:21 - 23 Si wote waniambiao bwana bwana wataurithi ufalme wa Mungu bali afanyae mapenzi ya Mungu ataurithi ufalme wa Mungu.... Wengi watasema je kwa jina lako hatukutoa unabii na kutoa pepo.....Mimi (Yesu) nitawajibu wazi wazi siwajui ninyi...... ondokeni kwangu ninyi watenda maovu.....

Hao wote uliowataja yawezekana kweli wameisoma sana biblia..... lakini lililo la msingi ni je wanafuata mafundisho yake???? Wanatii maamrisho ya Mwenyezi Mungu???? Kama hawafuati basi YESU atasema wazi wazi ondokeni kwangu enyi watenda maovu... bila kujali kama walitoa unabii, pepo au waliitwa makadinali au mapapa au mashehe au wachungaji nk... hukumu kali ya MUNGU itakuwa juu yao...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom