kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 19,173
- 11,624
Mkuu kahtaan kitabu cha Samweli Wa Pili mwisho wake ni sura ya 24 na hiyo sura Aya yake ya mwisho ni 25. Na Samweli Wa kwanza mwisho Wa Sura ni 31.
Sasa Hilo andiko hapo juu umelipata wapi Mkuu?
Mkuu Ntuzu HATA SIKU MOJA SIWEZI KUKUANDIKIA KITU AMBACHO HAKUNA!
Nenda kafungue 2 SAMWELI, SURA YA KWANZA ( 1) MSTARI WA 26!
Uone mwenyewe kwa macho yako. Labda ndio utaamini kuwa huo ULIBERALI UMO NDANI YA ANDIKO!
Na nyie kina Nkwesa Makambo 2013 na padri mgen kasomeni! Ili mkiitwa na wachungaji muwe watiifu! Manake IMEANDIKWA!
Last edited by a moderator: