kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 19,173
- 11,624
Andiko linalosema Yesu hakufanya kosa!!!! hii haihitaji andiko yaani lipo wazi... mjadala wa kusema Yesu alifanya kosa ulikuwepo jerusalem na kiongozi wa wakati huo Polato alisema wazi sijaona kosa alilofanya Yesu namuhukumu na damu yake itakuwa juu yenu wayahudi.....wale tu walitaka Yesu asulubiwe
Ukishikwa unaanza kulalamika kama waislam wengine tu mimi ni kiboko yenu Waislam...
We mwimba taarabu! Nimekwambia mara nyingi! Hapa rusha roho sio mahala pake!
Bila andiko ni kama unaongea na ASHA mohamed tu!
Teh teh teh
Last edited by a moderator: