Binadamu aliyezaliwa na Bikira Maria Waislam humuita Mariam Ya-shua au Yesu ndie yasemekana ni Mtu Pekee Duniani ambaye hakuwahi fanya Dhambi... Biblia inakiri Qoran imekili na Mtume wenu Muhammad alikili na kusema Ya-Shua(Yesu) alikuwa ni Mtume mwenye Rank ya Juu Kabisa kwa Mungu wa Ibrahim Mungu wa Yakobo(Israel), Mungu wa Isaka na Sio Allah na Allah mquraish wenu pia anatambua yote...
Huo uzushi wako wa kudonyoa maandishi na kuyafanya kuwa ndio maana halisi kwa akili za kawaida watu watakuona huna akili.... au umepumbazwa na ahadi za Allah huko peponi za kuzini na wanawake wenye makalio makubwa...
Kwanza ahsanta kukubali hapo juu kuwa huyo yesu wenu wa biblia ni binaadamu.
Pili kukiri kuwa ni mtume ..Allhamdulilah kwa hili.
Tatu waislam hatumuiti yesu, hili jina la yesu ni la waswahili wa kimvita mombasa. Tafsiri ya mwanzo ya biblia kwa lugha ya wejeji wa pwani na jina Jesus likatafsiriwa yesu. Hata ilipotafsiriwa tena biblia kwa kiswahili cha ki unguja jina hilo likabaki yesu.
Waislam tunamuita Eissa bin Maryam .yaani mwana wa Maryam
Utaona tofauti nyengine hapa... waislam wanamtukuza kwa jina la mama yake mzazi kwa kumpa heshma kuu mwanamke mwenye heri lakini ukristo wao wanamwita yesu au jesus mwana wa mungu na kumtaja mamake kama bikira.
Utaona kwa ustaarabu wa kawaida neno bikra ni aina ya maneno ya ndani ni ya siri ya mwanamke na sana akiolewa yeye na mumewe. Ukimkuta mke wako bikira huwezi kumpa title bikira irine mfano..hii itabaki furaha yako. Lakini leo wakristo ni bikira maria kila kona na kwaya. Hii si sifa ila nni kumdhalilisha.
Quran imekuja kumtakasa kiumbe hichi cha Mungu kuwa hakuwa Jesus ila ni mtume na mjumbe wake .hakua mtoto wa mungu kwa kuzaliwa na mungu.
Hakuwa mungu na kumtakasa kuwa hakuuliwa na maadui zake.
Mungu anapowatuma viumbe anajua binaadamu wabishi tangu Adam hadi Noah mpaka Mussa walipata tabu lakini hakuwaacha wanyanyaswe na kuuliwa kwa sababu yake. Mungu aliwaokoa kila palipokua na hatari noah alimpa jahazi. Mussa alimpa bakora na kupita baharini.na
Jesus Mungu alimgeuza msaliti wake akasulubiwa badala ya mtume na mjumbe wake. Na Mungu akamuokoa kwa kutumwa malaika kuja kumchukua duniani ...huu ndio uislam ulivo kuja kuweka sawa upotoshaji ulokuwepo kabla .
Wale walokua karibu naye hawakua na nia safi na mafunzo yake hawakujua hata nini kimetokea kila mtu alikimbia kwa hofu na wote wanashindwa kueleza huu mkasa kwa kueleweka.
Ni miaka kati ya 2 na 4 tu tangu akusanye wanafunzi kuwafundisha ujumbe wake lakini hawa wanafunzi hawakua na dhati walimkimbia wengine kumkanusha kuogopa nao kusulubiwa. Elimu yake Jesus aliondoka nayo mapema kabla hajaimalizia kuifundisha kwa watu. Baada ya kuondoka duniani kila sampuli na kila bingwa walijitokeza. Wakishindana kujua zaidi huhusu Jesus ambaye walimkana alipokuwepo duniani.
Vurugu mechi hii na maandiko kibao yaliichanganya sana himaya ya roma na uyahudi hadi mwaka 325 mfalme Constatine alipoona ubishi umekua karaha na kuleta vurugu na vita akaamua makasisi na makuhani na wakuu wengine wote wa dini na upagani wakusanyike huko Niacea Turkey kulikokua makao yake. Makoloni yake yote kutoka asia afrika na europe walifunga safari kuitikia wito.
Huyu Contastine hakua muumini wa dini yoyote .
Watu walipiga debate na kujadiliana na mpaka mwisho mfalme constatine akaingilia kati mjadala na kuamua suluhu ya kumfanya yesu awe mungu pia awe mtoto na awe mtume .
Hivyo akaamrisha utatu na wale wote wataobisha wakauliwa na vitabu vyote vungine vichomwe moto na ukionekana na maandishi mengine kuhusu Jesus adhabu ni kifo. Amri hii ikafatwa kikamilifu europa afrika ya kaskaxini jerusalem na asia.
Hapo dini mpya ikazaliwa Ukristo na imani ya utatu. Dini iliyokarabatiwa kukidhi magomvi yalokuwepo.
Lakini Jesus aliahidi kwa kusema nikiondoka atakuja badala yangu ataelitukuza jina langu na kuweka sawa upotoshaki. Atakuja kukataxa dhambi.
Ataamrisha mema na kuumcha Mungu. Na ndie Mtume Muhamad.
Na allah akateremsha sura nzima surat Maryam kuhhusu Jesus na kuweka sawa upotoshaji ulofanyika kule Niacea.
Hivyo ndugu yangu mkristo soma kwa jina la mola wako aliemuumba binaadam kutoka udongo na kuumbwa kwa Adam. Soma upate kuelewa what really happened in Niacea? Kwa nini ? Soma uislam surat Maryam inasema nini kuhusu Jesus?
Hakika uislam umemtukuza sana na kumsafisha na uongo wa Niacea kumfanya ni mungu au mtoto wa mungu..
Zindukaaaaaaaaaa