Bishop Desmond Tutu aanzisha chama cha mashoga!

Bishop Desmond Tutu aanzisha chama cha mashoga!

Status
Not open for further replies.
"I saw the prophet – pbuh – sucking on the tongue or the lips of Al-Hassan son of Ali, may the prayers of Allah be upon him. For no tongue or lips that the prophet sucked on will be tormented (by hell fire)"

Musnad Ahmed Hadith Number 16245, Volume Title: "The Sayings of the Syrians," Chapter Title: "Hadith of Mu’awiya Ibn Abu Sufyan": Muhammad, Messenger of Allah – Ash Shifa of Qadi Iyad, translated by Aisha Abdarrahman Bewley, Madinah Press, 2004 pg 184

REVEREND WAKO ANAICHAMBUA BIBLIA HAPA View the article
 
mabwaba yote yatajitaja tu, elton john, papa,obama, cameroon, tutu, tunamsubiri ''MWANYA'' siku c nyingi atawek mambo hadharan
 
mabwaba yote yatajitaja tu, elton john, papa,obama, cameroon, tutu, tunamsubiri ''MWANYA'' siku c nyingi atawek mambo hadharan
 
Tunasoma kwenye ANDIKO.
2 SAMWELI 26

Nimesikitika kwa ajili yako, Yonathani, ndugu yangu, Ulikuwa ukinipendeza sana; Upendo wako kwangu ulikuwa wa ajabu, Kupita upendo wa wanawake.-

SASA angalia KTK ANDIKO LINASEMA MAPENZI YA MWANAMME KWA.MWANAMME ni matamu KULIKO YA MWANAMKE!

Matokeo yake ndio haya. Kina Miss Desmond wanaamua kutafunwa!

Kumbe Na wao wanafuata andiko Tu!
Cc Nkwesa Makambo. Cureone mgen 2013
 
Last edited by a moderator:

Hivi hii gay bashing mtaacha lini?na wamewakosea nini hao watu,mungu anapenda kila mtu na msijifanye wasafi sana Mbele ya mungu kuzidi wengine
 
Last edited by a moderator:
Hivi hii gay bashing mtaacha lini?na wamewakosea nini hao watu,mungu anapenda kila mtu na msijifanye wasafi sana Mbele ya mungu kuzidi wengine

Teh teh teh!
Mbabuliwaji anakuwa msafi??
 
penye red: 2 SAMWELI 26 hakuna hichi kitu kwenye bibilia, acha kuongopa waziwazi. wizi mtupu
 
Hivi hii gay bashing mtaacha lini?na wamewakosea nini hao watu,mungu anapenda kila mtu na msijifanye wasafi sana Mbele ya mungu kuzidi wengine
mkuu, hawa wakina kahtaan wanatoa Dahawaa, lakini waangalie sana manake wanazungumza kama wanasifia ushoga
 
Dunia inaelekea wapi sasa viongozi wadini ambao wanatakiwa wawe mfano kwetu wanatudhalilisha
 
mkuu, hawa wakina kahtaan wanatoa Dahawaa, lakini waangalie sana manake wanazungumza kama wanasifia ushoga

Teh teh teh! Unaleta ujanja wa kupindua kete sio!

Sisi waislamu kwenye nchi zetu tunanyonga!
Nyie sio tu mnawafungisha ndoa kwenye makanusa yenu. Bali mnawatumia na MAUA!

Kwi kwi kwi kwi!
 
Teh teh teh teh teh! Sasa NDIO UMEANDIKA NINI HAPO JUU!

Eti nae kaona kaandika cha maana!!

LETA ANDIKO KAMA HIVI.

bla..bla...bla.. zinapoteza MUDA na kuzidi KUKUAMBISHA MISS muchungwaji!

Nyie wakristo kwenye ANDIKO lenu kunasema hivi

KUMBUKUMBU YA TORATI 17

12-Na mtu afanyaye kwa kujikinai, kwa kutomsikiza kuhani asimamaye hapo kwa kumtumikia Bwana, Mungu wako, au mwamuzi, na afe mtu huyo; nawe utauondoa uovu katika Israeli.-
13-Na hao watu wote watasikia na kuogopa, wasifanye tena kwa kujikinai.-

Maana yake ni kuwa AKISEMACHO KUHANI (Mchungaji, padri, katikista, kadinali na KIONGOZI YYT WA BIBLIIA YAKO BASI LZM UMTII.
Na ukimpinga UNATAKIWA UUWAWE ILI IWE MFANO.!

Sasa THE ARCHBISHOP WA AFRICA YOTE YA KUSINI KAFUNGUA CHAMA CHA WALIBERALI!
Na yeye pia ANATAFUNWA.

Wewe unatakiwa KU SUPPORT HIO KAZI YAKE. Na UKISEMA KUWA Kumtafuna mwanamme ni vibaya Basi KADINALI PENGO ANATAKIWA AJE KUUA HARAKA! Au ikishindikana KUKUUA , Basi japo akutafutie MUME ili AKAMILISHE YALE YA KADINALI MKUBWA KULIKO YEYE.
Miss TUTU.

Au hilo andiko UNALIKATAA!?

Swali la nyongeza AMBALO mara ya mwisho ULIKATAA KULIJIBU .

ANDIKO LAKO LINASEMA.

KUTOKA 31.

13-Kisha, nena wewe na wana wa Israeli, na kuwaambia, Hakika mtazishika Sabato zangu, kwa kuwa ni ishara kati ya mimi na ninyi katika vizazi vyenu vyote; ili mpate kujua ya kuwa mimi ndimi Bwana niwatakasaye ninyi.-

14-Basi mtaishika hiyo Sabato; kwa kuwa ni takatifu kwenu; kila mtu atakayeitia unajisi hakika yake atauawa; kwa kuwa kila mtu afanyaye kazi katika siku hiyo, nafsi hiyo itakatiliwa mbali na watu wake.-

HAPO andiko linasema

"MWENYE KUFANYA KAZI SIKU YA SABATO "AUWAWE"! AFE!

SASA NAKUULIZA SIku YA SABATO NI IPI??

Manake nyie Wagalatia Wengine mnaswali JUMAMOSI na wengine mnaswali JUMAPILI.

Sasa KUmbuka UKIIKOSEA HIO SIKU UMWEKWISHA!

Na yule KADINALI PENGO ANATAKIWA AJE AKUUE!
:bange:Nkwesa Makambo kila nikifikiria nacheka kwani, ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haha ha ha, teh teh tehteh teh teh teh,:dance: yaani leo mkonge amepata mbadala wa wake, sijawahi kuona siku khataan unapoteza mpira kama hapa, yaani unashika shati hadi refa anakuona. kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi.teh teh teh, ha ha ha ha ha ha ha ha :dance:
mara umekuwa msabato, mara unaswali jumamosi, haya bana nakupa wimbo wa kwetu pazuuuri nimeshapakumbuuuukaaa kwakuhamia usabato. kwishney. ha ha ha , tehteh teh mbavu zangu mie, ha ha ha. shuzi limepata mjambaji
 
Mtu yeyote akija na Injili tofauti na tuliyowahubiria hata kama ni Malaika NA ALAANIWE. By Mtume Paulo.
 
Mtu yeyote akija na Injili tofauti na tuliyowahubiria hata kama ni Malaika NA ALAANIWE. By Mtume Paulo.

UADILIFU UNATOWEKA KWENYE JAMII KWA KURUHUSU NDOA ZA JINSIA MOJA.
 
Tunasoma kwenye ANDIKO.
2 SAMWELI 26

Nimesikitika kwa ajili yako, Yonathani, ndugu yangu, Ulikuwa ukinipendeza sana; Upendo wako kwangu ulikuwa wa ajabu, Kupita upendo wa wanawake.-

SASA angalia KTK ANDIKO LINASEMA MAPENZI YA MWANAMME KWA.MWANAMME ni matamu KULIKO YA MWANAMKE!

Matokeo yake ndio haya. Kina Miss Desmond wanaamua kutafunwa!

Kumbe Na wao wanafuata andiko Tu!
Cc Nkwesa Makambo. Cureone mgen 2013

Mkuu kahtaan kitabu cha Samweli Wa Pili mwisho wake ni sura ya 24 na hiyo sura Aya yake ya mwisho ni 25. Na Samweli Wa kwanza mwisho Wa Sura ni 31.

Sasa Hilo andiko hapo juu umelipata wapi Mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Obama Was A Cocaine-Using Gay Hustler, Says Woman Who Claims To Have Been Hawaiian Classmate

A woman who claims to have been a classmate delivered some bizarre claims about President Barack Obama in an interview.
As Right Wing Watch first reported, Mia Marie Pope told right-wing preacher James David Manning that she believes that Obama was not only active within the gay community, but also a heavy cocaine user during his years in Hawaii.

"He always portrayed himself as a foreign student," Pope said. "Girls were never anything that he ever was interested in ... He would get with these older white gay men, and this is how we just pretty much had the impression that that's how he was procuring his cocaine."

She then notes, "In other words, he was having sex with these older white guys and that's how he was getting this cocaine to be able to freebase."
Pope, of course, isn't the first conservative voice to make such claims about the president's personal life. In May, "Coach" Dave Daubenmire implied Obama was "openly gay" or "better yet, openly bisexual" in a News With Views broadcast, nothing that the president's "face seems to really light up when he begins to talk about the gay agenda."

In fall 2012, gossip columnist turned Tea Party author Jerome Corsi alleged that the president had been actively involved in Chicago's gay bar and bathhouse scene.

source: Obama Was A Cocaine-Using Gay Hustler, Says Woman Who Claims To Have Been Hawaiian Classmate
 
Mkuu kahtaan nimesoma Samweli Wa kwanza 26 yote Hakuna Hilo fungu!

Wewe umelitoa wapi Mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Mmmh!! mkuu translate hayo maneno yatukolee.
nitarudi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom