Bishoo ni mtu wa aina gani?

Bishoo ni mtu wa aina gani?

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
14,727
Reaction score
37,030
Wasalaam,

Kwa wale vijana wa kale yaani 1970s and early 1980S kuna hii sentiment ambayo mtu akiupara (akitupia pamba kwa lungha ya leo) au akiwa namna gani mwenye babes wakali (pisi) na ndinga kali basi anatupiwa neno la bishoo.

Utasikia yule kaka bishoo sana, sasa nimekaa hapa natafakari bishoo ina maana gani au it was meant to be (be-show), i am wondering?

Embu wajuzi watiritike tuwanufaishe na hawa walamba lips (vijana wa sasa)
 
Wasalaam

Kwa wale vijana wa kale yaani 1970s and early 1980S kuna hii sentiment ambayo mtu akiupara (akitupia pamba kwa lungha ya leo) au akiwa namna gani mwenye babes wakali (pisi) na ndinga kali basi anatupiwa neno la bishoo...
Bishoo ni Bishororo au Bitoz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom