ladyfurahia nimekumiss ila naogopa ngumi za Mentor maana no mbabe mtaa mzima wanamuogopa
Last edited by a moderator:
Apataye mke apata kitu chema, naye ajipatia kibali kwa Bwana... (Mit 19:22).
Unywe maji ya birika lako mwenyewe, na maji yenye kububujika katika kisima chako...(Mit 5:15)
ladyfurahia nimekumiss ila naogopa ngumi za Mentor maana no mbabe mtaa mzima wanamuogopa
Niko huku dokta wangu..u hali gani!??
heeee......... Cousin!!!!!!! Hivi shemeji Mentor yuko wapi?
mi niko pouwa kabisa shemeji yangu, nimekumiss hadi kula nashindwa mwenzio
Naja mamii...na mafuta ya ubuyu!!!
Bishanga ninemiss kama binamu bana
Copy Erickb52 na Chocs na mabinamu zangu wote Passion Lady, Madame B Paloma Zion Daughter, dada mkubwa Blaki Womani na Preta na mwalimu gfsonwin na snowhite na sweetlady na ladyfurahia
Natamani nimpate wa kuniita "bebi".
Mzee mwenzangu Bishanga naona unakula tubmeme ya nchi.
bebii nyingi.
The secretary kwisha habari yake!!!!!!!!!!!!
ameingia huku eti kuja kuona mkewe anafanya nini? anibana, ananichunga na ananiondolea amani humu jumbani sijui kwanini wakati yeye anafanya madudu yake mm namwangalia tu, nimechoka naye my cousin lakini acha niendelee kuvumiliakwani ndoa ni kuvumiliana ila my luv kazidi sana.
Sijambo my kaka...wapi this w/kend na my wifi?
njoo mujini hilo jina utaitwa hadi ukimbie.......... Btw nimeshamuona beibe wangu!
Mzee Lady doctor kasema uhamie town utaitwa bebi mpaka uchanganyikiwe