usijali mupenzi
wa kike au wa kiume?
Bishanga ako kwa kibande ile ya FINCA madhee. Wewe Zahra White kuja hapa weekend hii utamkuta huyo mzee.
BTW: Unamjua au unamfahamu The secretary?
hallooooooooo beibiii kudadadeki utaita yote mwaka huu na wewe beibiiii Bishanga ukuje huku bwana wakaa juu ya paa wanaongezeka
Arushaone mi mti wa matunda sina tatizo wavunaji wanakuja na kuondoka mie nipo pale pale
Binamu..