Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
dadii nifanyie mpango kwa mtoto wa obama
Bishanga ninemiss kama binamu bana
Copy Erickb52 na Chocs na mabinamu zangu wote Passion Lady, Madame B Paloma Zion Daughter, dada mkubwa Blaki Womani na Preta na mwalimu gfsonwin na snowhite na sweetlady na ladyfurahia
hee kumbe binamu upo ulipotelea wapi wewe jamani au walikuban hawa jamaa niini? karibu kwetu kwani shemejio Mentor anataka kuongeza saccos ingine mpya
Natamani nimpate wa kuniita "bebi".
Mzee mwenzangu Bishanga naona unakula tubmeme ya nchi.
bebii nyingi.
Mhhhh nipo dear ladyfurahia
Mbona Mentor hajaniambia hilo aise
Mhhh mi nile ban kwa kosa gani aise maana mimi huwa sitembelei yale majukwaa ya stress
Natamani nimpate wa kuniita "bebi".
Mzee mwenzangu Bishanga naona unakula tubmeme ya nchi.
bebii nyingi.
I love ur cash a lot!!!!
haya pokea beibe :mwaaah::mwaaah::mwaaah:hiyo unayoitaka ila chunga sana mie ni mke wa mtu hapa na akikuona mwenyewe itakula kwako
pole wee!!!!!!!
hivi umenionea wapi 'beibi' wangu
Bishanga hizo danikoro mwaka huu utaongeza maji unakamuliwa sana aisee