Birthday party ya Nivea

mie naweka live updates jamani.
Kuna kadada karembo kameingia karembo sana bado hajasema id yake.
mwaJ upo dada ?tumekukumbuka hapa
watu8 tunasubiria utufungulie champagne
kweli shost wangu umenipambia sherehe yangu ipasavyo jamani jamani so funny.
 
yule bazazi alikufikisha home salama?
nilifika salama salimini jamani nawashukuru sana kwa ujio wenu na maandalizi mazuri ya vyakula ,sala na vinywaji bila kusahahu nasaha na maneno matamu kutoka kwenu ,namshukuru pia muandaaji wa party yangu KakaKiiza OH ALINIFWANYIA SUPRISE KWA KWELI.tena asanteni sana.
 
Last edited by a moderator:
huna hata heshima yakuongea na ndugu zangu huyo ni shemeji aka FP twin wangu haya bathidei party imekwisha na wewe talaka hiyo
hahahahaahahaah
asante kwa kunipigania twin.......
kama shem mwenyewe majibu ndo haya..... sijui
 
Naomba nichukue frusa hii kuwambia lei jioni kutakuwa na birthday party kwa My luv Nivea pale kwenye viunga vyetu naomba mfike kwa ajiri yakumpongeza mnaalikwa itakuwa ni cocktail party Karibuni Mtambuzi ameisha tuandalia pakufanyia hiyo party pale garden!.....baadae wapendwa!

Declare interest zako kwa Nivea ni zipi kwanza.
 
Last edited by a moderator:
Kwakuwa na yeye kalike yeye anayomengi ambayo anaweza kukwambia karibu!
 
Back
Top Bottom