Birthday party ya Nivea


KakaKiiza

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Messages
10,870
Likes
3,029
Points
280
KakaKiiza

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2010
10,870 3,029 280
Naomba nichukue frusa hii kuwambia lei jioni kutakuwa na birthday party kwa My luv Nivea pale kwenye viunga vyetu naomba mfike kwa ajiri yakumpongeza mnaalikwa itakuwa ni cocktail party Karibuni Mtambuzi ameisha tuandalia pakufanyia hiyo party pale garden!.....baadae wapendwa!
 
Last edited by a moderator:
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,499
Likes
234
Points
160
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,499 234 160
tutajie aina ya vinywaji mkuu KakaKiiza kwanza tusije kuta soda na juice na maji ya uhai bure
Tukaishia kurudisha chenji hadi ya tulivyokula pasaka, nani anataka ...!!!? taja vinywaji mkuu...!
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Messages
15,198
Likes
600
Points
280
Mr Rocky

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2007
15,198 600 280
Tukaishia kurudisha chenji hadi ya tulivyokula pasaka, nani anataka ...!!!? taja vinywaji mkuu...!
Halafu unakuta maji ya uhai yenyewe ni yale ya pakiti na soda za vyupa na juice za azam zile za karatasi unatumia mrija kunywa Baba V hafai kabisa KakaKiiza huyu
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
17,692
Likes
3,661
Points
280
Age
46
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
17,692 3,661 280
imeandaliwa wapi?? taja eneo bana niwahi siti.
naomba nikute na G&t pamoja na nyama ya kuchoma ya kitimoto
cc Asprin , Mtambuzi Kipaji Halisi
 
Last edited by a moderator:
MwanajamiiOne

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined
Jul 24, 2008
Messages
10,476
Likes
113
Points
145
MwanajamiiOne

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined Jul 24, 2008
10,476 113 145
Happy Birthday Nivea
 
Last edited by a moderator:
Nivea

Nivea

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Messages
7,466
Likes
114
Points
160
Nivea

Nivea

JF-Expert Member
Joined May 21, 2012
7,466 114 160
thanks my KakaKiiza asante sana
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
43,199
Likes
40,687
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
43,199 40,687 280
Happy Birthday Nivea, umekua sasa, sio kwamba kila mtu uwe unampa.Happy kuchezwa ngoma
 
Last edited by a moderator:
Kaizer

Kaizer

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2008
Messages
25,158
Likes
2,349
Points
280
Kaizer

Kaizer

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2008
25,158 2,349 280
Haya haya ba mi nimo
Cc KakaKiiza Mtambuzi Asprin
 
Last edited by a moderator:
Fixed Point

Fixed Point

JF Bronze Member
Joined
Sep 30, 2009
Messages
11,314
Likes
111
Points
145
Fixed Point

Fixed Point

JF Bronze Member
Joined Sep 30, 2009
11,314 111 145
my twin Nivea mbona hujaniambia siku hizi KakaKiiza ndo your love?
haya mimi nitakuja na keki kwa ajili ya twin wangu
 
Last edited by a moderator:
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Messages
11,166
Likes
8,613
Points
280
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2012
11,166 8,613 280
birthday gelo kapendeza sana kavaa gauni la cinderela Mtambuzi kaiba juithi yangu looo.
Kaniboaje sasa vivian na Jeska wanaingia.
They look classic jamani
hivi Jeska kikuku utaacha lini kuvaa?
 
Last edited by a moderator:
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Messages
11,166
Likes
8,613
Points
280
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2012
11,166 8,613 280
Happy Birthday Nivea, umekua sasa, sio kwamba kila mtu uwe unampa.Happy kuchezwa ngoma
usimfundishe uchoyo alichopewa na Mungu kumnyima mwanaume dhambi
 
Last edited by a moderator:
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Messages
11,166
Likes
8,613
Points
280
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2012
11,166 8,613 280
mie naweka live updates jamani.
Kuna kadada karembo kameingia karembo sana bado hajasema id yake.
mwaJ upo dada ?tumekukumbuka hapa
watu8 tunasubiria utufungulie champagne
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,274,531
Members 490,721
Posts 30,515,452