Karibu katika birthday partyyyy ya MJEDA wa Leo-Tupo-Hapa Pub!!!!!!!

Paloma

JF-Expert Member
Jan 22, 2008
5,334
2,000
Wadau wa JF CC, mwaonaje hali!?!?!?!:peace:
Kwa mara nyingine tena , katika jitihada za kuondoa makunyanzi usoni na moyoni…..famile ya CC inapenda kuwafahamisha kuwa bro wetu, rafiki, baba, bamdogo, bamkubwa wetu, babu yetu, mpenzi wetu MJEDA wa LEO TUPO HAPA Pub anatarajia kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa mnamo tarehe 22 March 2013

.:clock: Hakika amekula chumvi si haba!!!! Hivyo basi kama kaiwaida yetu majira ya kuanzia saa kumi na mbili jioni tukutane ndani ya leo tupo hapa kwa ajili ya surprise party kwa mpendwa wetu MJEDA kabla hajaenda DARFUR kulinda Amani kwa mtutu!!! (makubwaaa!!!!!)
Kma kawaida mzee Mtambuzi (mhh pole yako ya kushikwa ugoni na utakuja kueleza vizuri ilikuwaje maana…..!?!?!) ameshaandaa maulabu na viburudisho vya kumwaga!!! govinder kumar
Contesa
Image
heheheheeeee ……………. …… na Dompo!!!

Wale matajiri wa kihaya kuna hizi kitu zenyuuu
2012-08-22-Heineken_Cube1_0.jpeg
na hizi
Safari.jpg

Mjeda mwenyewe amekuja nah ii kitu spesheli MziziMkavu atupe analysis ya alkool content ya hii makitu Real Scorpion vodka………
Wageni waalikwa , naamini KakaKiiza Mentor Kipaji Halisi Teamo watakuwepo! mtanange wa wale walimbwende na vijivazi…hakika muumba amefanya kazi yake jamani…watoto mashaallaaaaah! Watakuwepo!!!
@Kaizer (uje banaa ntakulipia Flightlink kwani dola ngapi?!?!) Asprin (please niletee Msangi wangu) Vin Diesel na wakezo Mamndenyi KOKUTONA sijui na nani tena..... sosoliso saudari Ruttashobolwa Jiwe Linaloishi Fidel80 Boflo Bishanga –tajiri la roho na mwili (hhahahahaa - bia yako unainywea kwenye square bottle) Bujibuji Chachu Ombara. Madame B atakuwepo this time ataambatana na shemeji zetu Ben Saanane, Chili Chimbuvu, kiplagati26 na CHAI CHUNGU usimuache NTIBA. watu8 na famile yako bila kumsahau Baba V!Lol! Superman…uje utoe dose tafadhali!!!
@amu na kipenzy chako Nivea sweetlady, KING'asti – yani usipokuja kwa bamkubwaako ntakusutaje! cacico gfsonwin dompo inawahusu nyie!!! FirstLady FirstLady1 mwaJ, Zion Daughter, snowhite Swts Mjeda ataka kuwa –pempered na maladies wa ukwe'heeee….huenda akaacha posho yake yooote aliyolipwa kujikimu huko Darfur (shauri zenyuuuu) lara 1 Asnam marejesho et al nimeshaweka strawberry lips…..this time ntahakikisha mtu haibebi!!! mzabzab AshaDii Judgement
na wengine woooooooooooote wenye mapenzi mema kwa JFCC NA MJEDA!!! (Heee!!! na kwangu pia nani asotaka mapenzi mema)


Kutakuwa na sharbati za aina mbalimbali - detoxifying and cleansing juices etc


KARIBUNI SANAAAAAAAAAAAA TAREHE 22 MARCH PALE LEO TUPO HAPA PUB!!!!!!

( this time nina boooonge ya surprise kwa mkaka wa ukwe'he nitakayemnaniliu siku hiyoooo……………… stay tuned!!!)
mmxwaaahhh............
 

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
2,000
Mbona hujawaambia kwamba kutakuwa na mchemsho wa SATO na SANGARA kutoak Mwanza...
Nitakuwa Dar wiki ijayo na vitu vikali, kuna pombe moja maarufu huku Mwanza kanidokeza charminglady na Elizabeth Dominic nitakuja nayo......
 
Last edited by a moderator:

Paloma

JF-Expert Member
Jan 22, 2008
5,334
2,000
usijali Paloma shost angu mie nakuja bega kwa bega na mke mwenza amu na mtalaka wangu atakuwa pembeni kutulinda

heeeee shosti mbona sina khabari............ndo ilikuwa lini??? nani mume wenu?!?!? lahaula! usikute nimeporwa!!! mtalaka ni nani?
 

Paloma

JF-Expert Member
Jan 22, 2008
5,334
2,000
Paloma who is mjeda by the way ni yupi tena yuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

MJEDA ni bro wa Mtambuzi
MJEDA huyu ni owner wa leo tupo hapa
MJEDA ni mshirika wetu
MJEDA ndio provider wa ile supu tamu ya siku ileeeeeeeee................
MJEDA yupo leo tupo hapa
 

Nivea

JF-Expert Member
May 21, 2012
7,457
2,000
heeeee shosti mbona sina khabari............ndo ilikuwa lini??? nani mume wenu?!?!? lahaula! usikute nimeporwa!!! mtalaka ni nani?
lahaula shostiiii wewe tu ndo hujui nliachwa mie kisa sikuja kwenye ile bday yako akachukuliwa bibie huyo kisa alikuja nikatemwa pwaaaaaaaaaaaaaaaa.kule cc ndio khabari ya jamvini lol!!!ila raha tumekuwa bachela mimi na charminglady heheheheheehh
 
Last edited by a moderator:

Filipo

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
9,335
2,000
Paloma asante sana kwa hilo busu. Ingawa ni tamu sana nilikuwa na wasiwasi wife marejesho asije kusikia! Thanx
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom