Birthday Party ya DADA YAKE DIAMOND NI 'KUFULU'

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093

​

USIKU wa kuamkia leo kulikuwa na shughuli ya sherehe ya kuzaliwa kwa dada wa msanii wa Bongo Fleva nchini Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platinum, nyumbani kwake Sinza Mori jijini Dar es Salaam, kikubwa mtandao huu ulichokibaini ni juu ya shughuli hiyo kutawaliwa na wasasambuaji au wazungusha nyonga wa Tandale na K/koo, waliokuwa wamealikwa katika shughuli hiyo.

Mauno yalikuwa ya kumwagaaaa…

5.JPG

4.JPG

Mauno yalikuwa ya kumwagaaaa

Ndiyo habari ya mjini hiyo
.
2.JPG

Dada wa Diamond, kushoto akizungusha nyonga na mmoja wa marafiki zake waliokuwa wamehudhulia kwenye shughuli hiyo.
​
 
Wanawake wengine bhanaaa..ona yanavyojibinua kama migurue yenye ujauzito..
 
Mbuzi Mzee, dada yake Diamond nae ni mwana JF mwenzetu?
Nasikia kuna Birthday party ilikuwa juzi, maeneo nyeti.
 
Last edited by a moderator:

​

USIKU wa kuamkia leo kulikuwa na shughuli ya sherehe ya kuzaliwa kwa dada wa msanii wa Bongo Fleva nchini Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platinum, nyumbani kwake Sinza Mori jijini Dar es Salaam, kikubwa mtandao huu ulichokibaini ni juu ya shughuli hiyo kutawaliwa na wasasambuaji au wazungusha nyonga wa Tandale na K/koo, waliokuwa wamealikwa katika shughuli hiyo.

Mauno yalikuwa ya kumwagaaaa…

5.JPG

USIKU wa kuamkia leo kulikuwa na shughuli ya sherehe ya kuzaliwa kwa dada wa msanii wa Bongo Fleva nchini Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platinum, nyumbani kwake Sinza Mori jijini Dar es Salaam, kikubwa mtandao huu ulichokibaini ni juu ya shughuli hiyo kutawaliwa na wasasambuaji au wazungusha nyonga wa Tandale na K/koo, waliokuwa wamealikwa katika shughuli hiyo.
4.JPG

Mauno yalikuwa ya kumwagaaaa

Ndiyo habari ya mjini hiyo
.
2.JPG

Dada wa Diamond, kushoto akizungusha nyonga na mmoja wa marafiki zake waliokuwa wamehudhulia kwenye shughuli hiyo.
​

Ndo yupi dada wa Diamond hapa? Naona wase.nge waleeeee!
 
sipati picha harufu inayotoka hapo!!!
 
Sijaona kipya hapo. Kwanza wamevaa kiheshima sijaona mtu aliyejiachia hapo aliyenipigia mapigo. Hakuna hapo
 
Mbuzi mzee acha kuharibu lugha yetu adhimu ya kiswahili. Hatusemi kufulu bali tunasema kufuru
 
Mbuzi Mzee! Hii "Kufulu" ni makusudi au ulimi error pasted?
 
Back
Top Bottom