Birds, So Cute

DSM hakuna ndege siku hizi, mapori yote yamejengwa hadi lile la UDSM pana Mlimani City
 
huyu namjua sana huyu



Huyu jamaa maarufu sana huyu. Hata mimi namjua.

Kuna siku mjomba alikuwa ananifundisha kuwinda kwa manati porini. Kisehemu fulani kule kwetu kinaitwa 'kwitumba' nyuma ya milima kumgala. kule kwetu kuwinda ilikuwa jadi muhimu sana. Mjomba alimpiga huyu akapepesuka hadi chini ya ule mti mkubwa sana kule kwetu huwa tunauita 'ifwomi'. Lini hapo? Ni mwaka 1967 hapo--kiangazi.

Kazi ikaanza sasa. kutafuta kadondokea wapi. Tafuta weee, tafuta we. Kuja kumpata karibia nusu saa imepita. Haya tukawa tumepata kitoweo tayari. Kule kwetu huyu anaitwa 'Namdogolo'. Akishiba matunda huyu inakuwa taabu kwelikweli. Maneno hayamuishi mdomoni. Free, frii fri freeee!!!! Mungu wetu alitupenda sana wanadamu kutupatia mapambo yote haya ambayo pia ni chakula.
 
malafyale wakwetu, asante kwa kutia ubani
 
Nishawahi kula tausi aisee,huyu ndege mtamu sana
ungefafanua kidg ULIKULAJE ili ueleweke vizuri, lakn wamebaki wachache sana, so ingekua ni sasa ungefunguliwa KESI YA UJANGILI
 
God is Great Architect...uliwahi kufikiria hawa kina sijui Miss World,ni sanaa tu ya Mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…