Birds, So Cute

Birds, So Cute

nilivyokuwa mdogo nilikuwa napenda sana ndege na ukichukulia daslam ndege wapo wa aina chahce tu(sholwe ndio kibao na tulikuwa tunawalaje),sasa mtu mzima maisha yameharibu peace of mind,nikitune natgeowld nikakutana na ndege naflip channel haraka sababu wananiyeyusha,.lini ndege atasqueeze mbavu zangu kama anaconda,i watch some real stuff...dah ccm mtanibeba siku mkifumuliwa madarakani!!mmeniathiri sana kisaikolojia
DSM hakuna ndege siku hizi, mapori yote yamejengwa hadi lile la UDSM pana Mlimani City
 
huyu namjua sana huyu

View attachment 74596
unaweza usimpende sana kwa kuwa hana mvuto lakini kwa waliokulia vijijini na hata mijini anapatikana sana huyu, anaitwa common bulbul ay yellow vented bulbul (angalia ana njano fulani kwa chini) kiswahili huyu ndyo shorwe bwenzi (ana kibwenzi)

............upekee wake ni kwamba huyu ndiye song star of africa, ana milio mingi sana na hasa nyakati za asubuhi akishindana na spoted morning thrush

Huyu jamaa maarufu sana huyu. Hata mimi namjua.

Kuna siku mjomba alikuwa ananifundisha kuwinda kwa manati porini. Kisehemu fulani kule kwetu kinaitwa 'kwitumba' nyuma ya milima kumgala. kule kwetu kuwinda ilikuwa jadi muhimu sana. Mjomba alimpiga huyu akapepesuka hadi chini ya ule mti mkubwa sana kule kwetu huwa tunauita 'ifwomi'. Lini hapo? Ni mwaka 1967 hapo--kiangazi.

Kazi ikaanza sasa. kutafuta kadondokea wapi. Tafuta weee, tafuta we. Kuja kumpata karibia nusu saa imepita. Haya tukawa tumepata kitoweo tayari. Kule kwetu huyu anaitwa 'Namdogolo'. Akishiba matunda huyu inakuwa taabu kwelikweli. Maneno hayamuishi mdomoni. Free, frii fri freeee!!!! Mungu wetu alitupenda sana wanadamu kutupatia mapambo yote haya ambayo pia ni chakula.
 
malafyale wakwetu, asante kwa kutia ubani

Nishawahi kula tausi aisee,huyu ndege mtamu sana
ungefafanua kidg ULIKULAJE ili ueleweke vizuri, lakn wamebaki wachache sana, so ingekua ni sasa ungefunguliwa KESI YA UJANGILI
 
God is Great Architect...uliwahi kufikiria hawa kina sijui Miss World,ni sanaa tu ya Mungu?
 
Back
Top Bottom