Birds, So Cute

Birds, So Cute

images

nadhani unamzungumzia huyu anaitwa Paradise Flycatcher

Jamaaaani. Yes...nadhani ni huyu. Kwa hiyo wazungu wanamwita paradise fly catcher. Mh.. ushizya ku-mayombo ndo paradise fly catcher huh! Wewe unanifanya natamani kurudi kwetu sasa hivi yaani.
 
yaani kama kwenu bado wapo ni bahati ya pekee, ndege wameadimika sana hawa, na mtu akikuambia wanapatikana ni pm

Jamaaaani. Yes...nadhani ni huyu. Kwa hiyo wazungu wanamwita paradise fly catcher. Mh.. ushizya ku-mayombo ndo paradise fly catcher huh! Wewe unanifanya natamani kurudi kwetu sasa hivi yaani.[/QUOTE]

kuna jamaa alitoka Marekani kuja kumuona Domo Jiko (Spoon Bill) nikampeleka UDSM hola, tukaenda Kunduchi Salt Pans tukafanikiwa, alifurahi sana, kwenu hapo karibu MNO
 
mimi huwa navutiwa na huyu........huwa namuona kama hapendi mazoea sana......kila mara huwa yupo peke yake.......

View attachment 121852
utakua na choice nzuri sana, nimegundua hata wazungu wengi wakimuonja huwa wanaoagawa, rangi yake ni metallic, anaitwa lilac breasted roller
 
yaani kama kwenu bado wapo ni bahati ya pekee, ndege wameadimika sana hawa, na mtu akikuambia wanapatikana ni pm

wapo. naweza niku-pm kama una lengo la kuhifadhi. kama unataka kukamata kuuza pets no.... kwa hiyo nambie kwanza unawatakia nini ndege wangu.
 
Na ww unategemea mbongo akwambie ukweli!?
Teh teh teh teh! We unaonekana bado hujakaa mjini!
Mkuu hakuna mbongo anataka ahangaike kutafuta ndege hao ili awatizame tu! Hio biashara! Na km hatouza leo basi baada ya muda tu lzm akasubiri wale watalii njaa achukue hizo dola fasta!
If I was you I will keep it to myself!
Usimuonyesha mtu yyt! Lbd mimi nikija bongo utanionyesha manake mi muungwa😛😛 halafu wazungu mi siwapendi vibaya sana!

Teh teh teh teh
😀😀😀😀
 
heee? kumbe na wewe wazungu umeshawastukia ee? wale watu fix sana aise; yaani ukiona anakuchekea usifikirie ati anakupeeeenda. Unaweza ukute anakulia tu timing kuna kitu anataka kwako. Naona leo kuna kitu ingalau kimoja tunakiona sawa... ha ha ha ha.
 
Hawa jamaa nimekaa nao zaidi ya miaka 20! Na nimewasoma vizuri mno.
Tunaishi nao ki machale tu! Walipokuja kwetu walikuwa wanauma huku wanapuliza!
Na sisi tunajaribu kufanya kama wao.
Teh teh teh teh!
Waswahili wanasema ndege mjanja hunaswa na mtego mbovu.
Hizo ni mali asili zetu! We ukiona mzungu anapita karibu na hao ndege "PIGA MANATI TU"
Hawana maana hawa!
 
Huyu jamaa maarufu sana huyu. Hata mimi namjua.

Kuna siku mjomba alikuwa ananifundisha kuwinda kwa manati porini. Kisehemu fulani kule kwetu kinaitwa 'kwitumba' nyuma ya milima kumgala. kule kwetu kuwinda ilikuwa jadi muhimu sana. Mjomba alimpiga huyu akapepesuka hadi chini ya ule mti mkubwa sana kule kwetu huwa tunauita 'ifwomi'. Lini hapo? Ni mwaka 1967 hapo--kiangazi.

Kazi ikaanza sasa. kutafuta kadondokea wapi. Tafuta weee, tafuta we. Kuja kumpata karibia nusu saa imepita. Haya tukawa tumepata kitoweo tayari. Kule kwetu huyu anaitwa 'Namdogolo'. Akishiba matunda huyu inakuwa taabu kwelikweli. Maneno hayamuishi mdomoni. Free, frii fri freeee!!!! Mungu wetu alitupenda sana wanadamu kutupatia mapambo yote haya ambayo pia ni chakula.

nimecheka saaaaana.... Ate free frii frooo friii.... The yellow bulbul.... Asante sana... Na Mungu awabriki... I love nature na nimeifurahia sana hii thread... Sijui ntafanyaje kugrow aprt from.. Here...
 
amavubi... Aka...the yellow vented bulbul... Kuna msitu uko kati ya njombe na mbeya.. Una itwa the gods paradise... Una ndege huwa anatokea australia kuja kuzalia kwenye huo msitu na kisha hudi australi.. Je una habari zaidi ndugu??? Plus super thanks n hugs aisee?? Thumbs up jembeee
 
nimecheka saaaaana.... Ate free frii frooo friii.... The yellow bulbul.... Asante sana... Na Mungu awabriki... I love nature na nimeifurahia sana hii thread... Sijui ntafanyaje kugrow aprt from.. Here...

Nakubaliana nawe kabisa ndugu. Mungu akiniweka hai long enough nataka kutengeza project moja iwe mchango wangu kupreserve nature asilia sehemu fulani katika nchi yetu. Well, maybe I should use the words 'I will attempt!" Like you, I truly love nature!

Vijana wanaozaliwa siku hizi hawatakaa wajue ni kitu gani wanakosa bila sisi tuliokuwapo wakati ule Tanganyika ikiwa truly wild kuwaambia au hata kuwaonesha ilikuwaje. I wish so much to do a nature preserve project somewhere I know, for my beloved grandchild hidden somewhere...before I go.
 
byutiful ndege, ila hawa wauwaji wa tembo walaaniwe kabisa hawa ndege watakuja kupotea! Kwa sababu ecosystem ni mtegemeano unaohusisha Patch, corridor n matrix. Sasa hawa jamaa wanaua tu wanyama, unategemea ndege kama huyu ataendelea kuwepo? ImageUploadedByJamiiForums1384825833.261168.jpg
 
byutiful ndege, ila hawa wauwaji wa tembo walaaniwe kabisa hawa ndege watakuja kupotea! Kwa sababu ecosystem ni mtegemeano unaohusisha Patch, corridor n matrix. Sasa hawa jamaa wanaua tu wanyama, unategemea ndege kama huyu ataendelea kuwepo?View attachment 122048

I can get very emotional on these things ndugu. Huyu ndege yupo captivity. The more we do things like this the more nature is destroyed. Ningekuwa na uwezo ningepiga adhabu mbaya sana wauzaji wa pets from the wild. Sipingi kabisa kabisa matumizi ya wildife kama chakula au pets, lakini hili linatakiwa kufanyika kwa umakini mkubwa sana pasipo ku-tip the balance wildlife ikatoweka katika form yake ya asili.
 
wapo. naweza niku-pm kama una lengo la kuhifadhi. kama unataka kukamata kuuza pets no.... kwa hiyo nambie kwanza unawatakia nini ndege wangu.

hapana si kuhifadhi kwa maana ya kuwafuga, kuna kitu inaitwa IBA, je umeisikia?
 
mkuu asimuonehse ndege mtu yyt, Mungu alisema waangalieni ndege wa angani...........yaani macho yatawaona tu

Back
Top Bottom