Birds, So Cute

Birds, So Cute

bird.jpg
 
God is Great Architect...uliwahi kufikiria hawa kina sijui Miss World,ni sanaa tu ya Mungu?

dah, wewe umeenda deep sana

the more i think about the beauty that i find in creation--the songs from the wild, the lazy eye of a woman, the flowers of the african savanna the more i am humbled by this being we have chosen to call God.

Kuna ndege fulani kule kwetu anaitwa shizya. very very bright pink utafiriki red. ana mkia mrefuuuu. huwa anaruka katika miyombo zaidi. sijui kiingereza chake ni nini. when you look at that bird unajiuliza Mungu alitaka kutuambia nini katika uzuri ule?

Amavubi naomba mtafute huyu kama unaeza kumtambua kwa kutumia hii description nimekupa umuweke hapa.
 
kuna miti maalum ya kuvutia ndege kwenye bustani yako, haswa miti ya matunda
mimi ndege yeyote nampenda nawish sana kuja kumiliki garden full of birds and butterfly
 
images
[QUO
images

TE=Hi
images
ghlander;7838236]the more i think about the beauty that i find in creation--the songs from the wild, the lazy eye of a woman, the flowers of the african savanna the more i am humbled by this being we have chosen to call God.

Kuna ndege fulani kule kwetu anaitwa shizya. very very bright pink utafiriki red. ana mkia mrefuuuu. huwa anaruka katika miyombo zaidi. sijui kiingereza chake ni nini. when you look at that bird unajiuliza Mungu alitaka kutuambia nini katika uzuri ule?

Amavubi naomba mtafute huyu kama unaeza kumtambua kwa kutumia hii description nimekupa umuweke hapa.[/QUOTE]
 
images

nadhani unamzungumzia huyu anaitwa Paradise Flycatcher
 
Back
Top Bottom