supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Kwa upande mwingine wa shillingi. Kigogo nae alikuwa kazidi matumizi na ubadhirifu wa pesa mpaka kuisaliti ndoa. KIGOGO YAMEMHARIBIKIA
Mpeni pole huyu binti,
Binti huyu alizaliwa mrembo mwenye sura ya kuvutia, tangia akiwa shule wavulana aliosoma nao walimsumbua kumtaka ki mapenzi, alipomaliza kidato cha nne hakuwa na matokeo mazuri ya kuendelea na elimu ya juu. Wazazi wake ni wa hali ya kawaida, binti huyu alianza kujihusisha na shughuli za urembo.
Katika mashindano ya urembo katika mkoa wao, mgeni rasmi alikuwa kigogo mmoja kutoka serikalini, majaji wa waamuzi wote walipendekeza jina la binti kama mshindi, mgeni rasmi alimuachia binti namba yasimu.
Binti alianza mawasiliano na kigogo, kutokana na majukumu na uzito wa kazi zake, kigogo alimwambia binti ingawa kuonana kwao kutakuwa ni kwa shida, lakini atahakikisha account yake siku zote ina pesa, hataki kumwona mtoto mzuri kama yule anapata shida.
Binti alianza kuwekewa pesa, ankara zilizokuwa zinaingia kwenye account yake zilikuwa milioni 50, 30, kwa uchache 20. Binti alipata boyfriend wa kutanua nae, boyfriend alimwonyesha binti jinsi ya kula bata Mombas, Dubai na sehemu nyinginezo.
Kigogo alipomhitaji binti, alisafiri mpaka katika mji mkuu wa nchi yao na alikaa hotelini kwa siku mbili au tatu. Kigogo alimpenda sana binti na alimwambia ajiheshimu na pia amheshimu yeye kwani wadhifa wake ni mkubwa pia anaiheshimu ndoa yake.
Baada ya uchaguzi mkuu, kigogo alikosa wadhifa alioshikilia, pia rais aliyechaguliwa alibana sana mianya ya fursa, kigogo alishindwa pesa ya kuendesha familia yake licha ya pesa ya kumpa binti. Binti alichanyanyikiwa, hakumpenda kigogo kabisa lakini alipenda pesa, baada ya kuona pesa imekata, kigogo akipigiwa simu anashindwa kupokea kutokana na aibu na ufalme alijitangazia kwa binti.
Boyfriend alipoona binti hana pesa ya matanuzi ameanza kumwonyesha wasichana wengine tena wadogo kuliko binti anatanua nao wazi wazi. Binti hakuwahi hata kununua bodaboda wakati wa neema, licha ya hayo alihama nyumbani na kupanga nyumba ya kifahari ili awe free na boyfriend.
Binti amepata msongo wa mawazo (depression) anafikiria kuutoa uhai wake.
Huwezi jua katiba tunayoitaja sisi wananchi ikaibwaga ile ya wenye nchi, kisha akarudi yeye!Unamaana 2020 Mzee wa Msoga anaweza kurudi?
Mamii hebu nitumie contact za huyo binti iwapo bado ana mvuto.Wewe unasema, haya hayajatoka kwangu.
Ulikuwa bahiliPole yake
Huwa sielewi wanawake wanaohonga aisee
Enzi za "ujana" kidume kikitaka kuhongwa mfurumsho atakaoupata hatonitafuta mwaka mzima

Weep not, Bint.Things have fallen apart😛😛😛😛
Mkuu una uhakika ndie yeye anayezungumziwa hapa kweli? ? Ngoja timu sepenga wajeUna utani na wema sepetunga au?
Sijui nikomenti..!Mpeni pole huyu binti,
Binti huyu alizaliwa mrembo mwenye sura ya kuvutia, tangia akiwa shule wavulana aliosoma nao walimsumbua kumtaka ki mapenzi, alipomaliza kidato cha nne hakuwa na matokeo mazuri ya kuendelea na elimu ya juu. Wazazi wake ni wa hali ya kawaida, binti huyu alianza kujihusisha na shughuli za urembo.
Katika mashindano ya urembo katika mkoa wao, mgeni rasmi alikuwa kigogo mmoja kutoka serikalini, majaji wa waamuzi wote walipendekeza jina la binti kama mshindi, mgeni rasmi alimuachia binti namba yasimu.
Binti alianza mawasiliano na kigogo, kutokana na majukumu na uzito wa kazi zake, kigogo alimwambia binti ingawa kuonana kwao kutakuwa ni kwa shida, lakini atahakikisha account yake siku zote ina pesa, hataki kumwona mtoto mzuri kama yule anapata shida.
Binti alianza kuwekewa pesa, ankara zilizokuwa zinaingia kwenye account yake zilikuwa milioni 50, 30, kwa uchache 20. Binti alipata boyfriend wa kutanua nae, boyfriend alimwonyesha binti jinsi ya kula bata Mombas, Dubai na sehemu nyinginezo.
Kigogo alipomhitaji binti, alisafiri mpaka katika mji mkuu wa nchi yao na alikaa hotelini kwa siku mbili au tatu. Kigogo alimpenda sana binti na alimwambia ajiheshimu na pia amheshimu yeye kwani wadhifa wake ni mkubwa pia anaiheshimu ndoa yake.
Baada ya uchaguzi mkuu, kigogo alikosa wadhifa alioshikilia, pia rais aliyechaguliwa alibana sana mianya ya fursa, kigogo alishindwa pesa ya kuendesha familia yake licha ya pesa ya kumpa binti. Binti alichanyanyikiwa, hakumpenda kigogo kabisa lakini alipenda pesa, baada ya kuona pesa imekata, kigogo akipigiwa simu anashindwa kupokea kutokana na aibu na ufalme alijitangazia kwa binti.
Boyfriend alipoona binti hana pesa ya matanuzi ameanza kumwonyesha wasichana wengine tena wadogo kuliko binti anatanua nao wazi wazi. Binti hakuwahi hata kununua bodaboda wakati wa neema, licha ya hayo alihama nyumbani na kupanga nyumba ya kifahari ili awe free na boyfriend.
Binti amepata msongo wa mawazo (depression) anafikiria kuutoa uhai wake.
KvpAcheni kutupa hadith huku
walimwengu walisema na leo nimeamini.. kama mimi leo jamani, yamenikuta... nilikua naitwatupatupaPesa maua eeeh..tena yauwaa..pesa maua tena yauwa..
Mdogo wangu, sikia maonyo na utulie🙁🙁🙁🙁🙁kuna yule dada anawaza kupata mabwana wenye hela kumbe hata godoro hana ha ha ha ha ha ha ha ha
maonyo yapi tena mkuu halafu mie siye dogo ujueMdogo wangu, sikia maonyo na utulie🙁🙁🙁🙁🙁
maonyo yapi tena mkuu halafu mie siye dogo ujue