enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,109
- 3,677
Sasa wewe ulitoaje hela nyingi hivyo kabla ya mzigo?siogopi mkuu ila hela anapenda mzigo anazingua na kwann asiseme siku zote tulipoanza mahusiana aane juzi tu
Lengo lilikuwa ni kumlainisha mkuuSasa wewe ulitoaje hela nyingi hivyo kabla ya mzigo?
Mi kama demu sijamla mwisho wa kumpa huwa ni buku 5 na hiyo ni kwa demu ambaye nimekamatika beki hazikabi.
Ila kama sijadata sana sitoi hata mia mbovu unless nmekula mzigo.
Najiuliza waoga kweli kupimaHivi kwa nini wanaume wengi hawapendi kupima?
sasa bro nahisi atanizingua tenaDogo nenda kapime, acha kulia lia.
Hebu nipe namba yake ya simu nijaribu kuongea nae vizur akukubalinaniuma mkuuu acha tu
Huyu dogo bwege kweli, si apime tu?Wewe bwege huoni huyo ndio mtu mzuri? Vipi kama yeye ndio ana ngoma hataki kukuambukiza?au wewe unaogopa nini?
Tunapenda kupima ila hatupendi kupangiwa!Hivi kwa nini wanaume wengi hawapendi kupima?