Binti wa Mkuu wa kaya

Kumbe ana watoto wa kike wakubwa kabisa wanao fanana na yule binti wa Zakhia Meghj.

Ezan, naona kama unaanzisha topic nyingine; "Binti wa Zakia?". Check jammaa anavyomuangalia mzee usoni anadhani na yeye ana tabia kama yake, ha ha haaa haaaa...
 
Du! Mkulu ana binti mrembo hivi, nauliza ashachumbiwa? Hapa ujanja ni kujifanya shabiki wake No.1 wakizubaa unapeleka posa!
 
Tafadhali mkuu, fanya hima. .. Nane ajuae nami nikawa mwana wa mfalme by association?

Mkuu mie mwenyewe napiga ndogo Ndogo...nijiweke kudadeki ..


picha kama hii ndio inatakiwa ionekane sio rais umekaa nyuma yako kuna mgambo .....kama vipi kuanzia leo jk ni rafiki yaku

hahahahahahahaha...Mkuu umetisha..nimekupata vzr...
 
Mkuu hapo sijakuelewa, maana yake ni nini hasa hapo red?

enzi za mwl. ikulu ilikuwa kama nyumba nyingine tu, tena wengine walipazidi. Fedha nyingi zilielekezwa kwenye miradi ya kuinua watu. Leo mambo yamebadilika, IKULU ni sehemu ya anasa, hata kama utakuwa na uglyface, baada ya mda kidogo utakuwa safi na mvuto fulani unaoletwa na ishara ya kuridhika tu. usijifanye hujui haya
 
Kuanzia leo nakuwa mfuasi wa ccm rasmi. bila kuwa karibu na wakuu wa chama huwezi kumsogelea huyu mtoto.
 
Back
Top Bottom