KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,883
- 40,052
Naomba nikusaidie kushangaa mzee mwenzangu......hii nayo mada?
Naomba nikusaidie kushangaa mzee mwenzangu......hii nayo mada?
Naomba nikusaidie kushangaa mzee mwenzangu......
Tutafanyaje na wanetu wameshavamia jukwaa letu......Kabisa mkuu. Vuta kiti njoo na kikombe cha gahawa tushangae bila stress kabisa
Hili swala Kiukweli limenishangaza sana kumkuta binti wa miaka 22 akiwa Ana bikra, kwani wakati namgegeda nilishuhudia damu.
Napenda kuuliza je,kwa umri huu ni kweli ilikuwa bikra au ya kuforge?
ya kuforge hiyo kizazi cha miaka ya tisini hawakuzaliwa nazo
Ila kizazi cha miaka ya themanini na na kurudi nyuma mkuu?
hao walizaliwa nazo
Hhahahaahahahaa,.....kweli akili zako unazijua wewe tu
ha ha tunawekaga tomato source ila ya American garden
= sauce
Ni kweli usemayo mkuu watoto wetu wa siku hizi wakibarehe tu wao wanachojua ni kuchojoa nguo kwa kila wanayemuona wanadhani ni kwenda na fashion kumbe wanajitumbikiza katika dhambi, na matatizo kabisa siku heshima ya mwanamke imepotea kabisa yaani sijui tufanye nini na watoto wetu
yaani kizazi kijacho ndio sipati picha kitakuaje... dawa ni kuzungumza nao tu bila aibu hakuna kuwaficha unawaeleza vipi wanatakiwa kuishi.. ukaribu kati ya mzazi na mwana ndio jambo la msingi.
= sauce
We bibi bikira yako ilitoka ukiwa na miaka mingapi??