siraha za aina gani na wanazifanyia nini ?katika taarifa ya habari ya saa 10 jioni na harakati tumepata taarifa kuwa binti wa mika 12 amekutwa juu ya meli katika bahari ya hindi huko dar. Meli hiyo ni ile ya wataiwan ambayo ilikamatwa kwa uvuvi haramu (samaki wa magufuli).
Baada ya kuhojiwa amedai kuwa anatokea mbozi mbeya na alikuwa akisafiri kwa ungo akiwa na babu yake ajulikanaye kwa jina la zambi na walikuwa wakielekea china kununua silaha! polisi wanafanya utaratibu wa kumrudisha kwa mbeya.
huyu siyo mbunge kweli?Katika taarifa ya habari ya saa 10 jioni na Harakati tumepata taarifa kuwa binti wa mika 12 amekutwa juu ya meli katika Bahari ya Hindi huko Dar. Meli hiyo ni ile ya Wataiwan ambayo ilikamatwa kwa uvuvi haramu (samaki wa Magufuli).
Baada ya kuhojiwa amedai kuwa anatokea Mbozi Mbeya na alikuwa akisafiri kwa ungo akiwa na babu yake ajulikanaye kwa jina la Zambi na walikuwa wakielekea China kununua Silaha! Polisi wanafanya utaratibu wa kumrudisha kwa Mbeya.
siraha za aina gani na wanazifanyia nini ?
haijulikani, si wajua tena taarifa ya habari na harakati huwa ni kwa ufupi ufupi tu? Lakini kamanda wa kikosi cha polisi cha majini wanasema huenda ni utetezi tu wa binti huyo ili kujiepusha na sheria. Polisi wameuliza kwao na wameambiwa kuwa huyo binti ana tabia ya kutoroka nyumbani na leo ni siku ya tatu tangu atoroke mbeya.
watakuwa waandishi wetu wamemchakachua ili wauze magazeti yao
Kuna Zambi mbunge but sio lazima awe yeye bse ayo majina ni common uko mbozi.
Huwezi endachina ukafka salama kwa ungo as kuna anga zao za wachawi wanakutungua
Katika taarifa ya habari ya saa 10 jioni na Harakati tumepata taarifa kuwa binti wa mika 12 amekutwa juu ya meli katika Bahari ya Hindi huko Dar. Meli hiyo ni ile ya Wataiwan ambayo ilikamatwa kwa uvuvi haramu (samaki wa Magufuli).