Binti wa miaka 12 kutoka Mbeya atua kwa ungo juu ya meli!

Kuna habari (Radio One Stereo ......mambo mseto) iliniacha hoi ya "fundi" mmoja aliangukia Tanga ambako "Mafundi" wa Tanga waliushambulia msafara wao.............jamaa akapelekwa hospitali.........wakati jamaa anapata nafuu alitoka hospitalini kwa matembezi ya kawaida ili kuuchangamsha mwili...........Ikatokea jamaa akagongwa na gari akafa...........

Hakuna ndg aliyejitokeza na hivyo kulazimisha Manispaa ya Tanga wamzike.............baada ya siku kadhaa akaonekana kwao huko Songea.............waandishi wakamfuata na kumhoji inakuwaje?........akawaambia kawaulizeni wale watu wa Manispaa walizika kitu gani...........halafu akampiga warning yule mwandishi wa kwanza kule Tanga aliyetoa taarifa zake hewani na jinsi alivyoangushwa na kwamba atamshikisha adabu............
Haikuchukua muda mrefu yule mwandishi akapata ajali na kuvunjika mkono...............waandishi wakaenda kumhoji yule "Fundi" tena....akawachimba Mkwara wote including Mwaibabile (RIP) aliyekuwa anamhoji kisiri kuwa aachane naye.....na kama hataacha yatamkuta kama mwandishi mwenzake kule Tanga...........

Well, hicho ni kisa nilichokisikia redioni, siku nyingi kidogo........mpaka leo nakikumbuka............ninacho shangaa ni kuwa huyo "Fundi" alihojiwa akiwa Tanga kabla hajafa, halafu akahojiwa tena Songea baada ya kifo chake kutokea!!!!!!.........
 
Back
Top Bottom