Binti wa miaka 12 kutoka Mbeya atua kwa ungo juu ya meli!

Ibrah

JF-Expert Member
Mar 22, 2007
2,729
528
Katika taarifa ya habari ya saa 10 jioni na Harakati tumepata taarifa kuwa binti wa mika 12 amekutwa juu ya meli katika Bahari ya Hindi huko Dar. Meli hiyo ni ile ya Wataiwan ambayo ilikamatwa kwa uvuvi haramu (samaki wa Magufuli).

Baada ya kuhojiwa amedai kuwa anatokea Mbozi Mbeya na alikuwa akisafiri kwa ungo akiwa na babu yake ajulikanaye kwa jina la Zambi na walikuwa wakielekea China kununua Silaha! Polisi wanafanya utaratibu wa kumrudisha kwa Mbeya.
 
katika taarifa ya habari ya saa 10 jioni na harakati tumepata taarifa kuwa binti wa mika 12 amekutwa juu ya meli katika bahari ya hindi huko dar. Meli hiyo ni ile ya wataiwan ambayo ilikamatwa kwa uvuvi haramu (samaki wa magufuli).

Baada ya kuhojiwa amedai kuwa anatokea mbozi mbeya na alikuwa akisafiri kwa ungo akiwa na babu yake ajulikanaye kwa jina la zambi na walikuwa wakielekea china kununua silaha! polisi wanafanya utaratibu wa kumrudisha kwa mbeya.
siraha za aina gani na wanazifanyia nini ?
 
Katika taarifa ya habari ya saa 10 jioni na Harakati tumepata taarifa kuwa binti wa mika 12 amekutwa juu ya meli katika Bahari ya Hindi huko Dar. Meli hiyo ni ile ya Wataiwan ambayo ilikamatwa kwa uvuvi haramu (samaki wa Magufuli).

Baada ya kuhojiwa amedai kuwa anatokea Mbozi Mbeya na alikuwa akisafiri kwa ungo akiwa na babu yake ajulikanaye kwa jina la Zambi na walikuwa wakielekea China kununua Silaha! Polisi wanafanya utaratibu wa kumrudisha kwa Mbeya.
huyu siyo mbunge kweli?
 
akamatwe aendelee kuhudumiwa na serikali ili awafundishe wengi utaalamu wa usafiri huo
kwa ajili ya soko la kimataifa tehe tehe te h he hehhhhh heeee
 
siraha za aina gani na wanazifanyia nini ?

Haijulikani, si wajua tena taarifa ya habari na harakati huwa ni kwa ufupi ufupi tu? Lakini Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Majini wanasema huenda ni utetezi tu wa binti huyo ili kujiepusha na sheria. Polisi wameuliza kwao na wameambiwa kuwa huyo binti ana tabia ya kutoroka nyumbani na leo ni siku ya tatu tangu atoroke Mbeya.
 
haijulikani, si wajua tena taarifa ya habari na harakati huwa ni kwa ufupi ufupi tu? Lakini kamanda wa kikosi cha polisi cha majini wanasema huenda ni utetezi tu wa binti huyo ili kujiepusha na sheria. Polisi wameuliza kwao na wameambiwa kuwa huyo binti ana tabia ya kutoroka nyumbani na leo ni siku ya tatu tangu atoroke mbeya.

watakuwa waandishi wetu wamemchakachua ili wauze magazeti yao
 
watakuwa waandishi wetu wamemchakachua ili wauze magazeti yao

Kama nimeelewa vizuri, ni taarifa ya habari ya TBC taifa na kipindi cha harakati huwa kwenye TBC, na hawa huwa wanajiita UKWELI NA UHAKIKA! Au sivyo jamani??
 
yaani hata mtu uwe na hasira kiasi gani huwezi kupitisha siku bila kupata kioja cha kukufanya utabasabu huku ukitikisa kichwa kwa masikitiko.
ni juzi tu kila mtu alikua kanunia uchakachuz leo tushaanza kujadili haya.
natamani kujua hizo silaha ni za aina gani.
natamani na mimi nipate ungo wangu unipaishe hadi ktk kisiwa kisicho na mafisadi na wala wezi wa kura.
 
Kuna Zambi mbunge but sio lazima awe yeye bse ayo majina ni common uko mbozi.
Huwezi endachina ukafka salama kwa ungo as kuna anga zao za wachawi wanakutungua
 
Mbeya to chine! Tanzania technology inakuwa, inawezekana huyu binti ni kweli alikuwa anasafiri na babu yake lakini kutokana na maadili wameamua kuficha hapo. Mafisadi sisi wachawi sisi mengine tufiche.
 
mi haya mambo ndo siamini kabisa..... vitu ambavyo vinaweza ruka na havina engine ni vitu kama gliders, au ndege wa porini....(ongezea vingine kama unavifahamu)..
hayo mambo ya ungo hayo imani potofu tu.....
 
Hivi mbona nasikiaga ungo hauvuki bahari!!? Angefikaje China huyu, au kunatechnologia mpya?
 
Katika taarifa ya habari ya saa 10 jioni na Harakati tumepata taarifa kuwa binti wa mika 12 amekutwa juu ya meli katika Bahari ya Hindi huko Dar. Meli hiyo ni ile ya Wataiwan ambayo ilikamatwa kwa uvuvi haramu (samaki wa Magufuli).

Baada ya kuhojiwa amedai kuwa anatokea Mbozi Mbeya na alikuwa akisafiri kwa ungo akiwa na babu yake ajulikanaye kwa jina la Zambi na walikuwa wakielekea China kununua Silaha! Polisi wanafanya utaratibu wa kumrudisha kwa Mbeya.

Tupa baharini halafu lenga, kanyaga na meli afie mbali kama Warusi wanavyofanyaga.
 
Katika taarifa ya habari ya saa 10 jioni na Harakati tumepata taarifa kuwa binti wa mika 12 amekutwa juu ya meli katika Bahari ya Hindi huko Dar. Meli hiyo ni ile ya Wataiwan ambayo ilikamatwa kwa uvuvi haramu (samaki wa Magufuli).

Baada ya kuhojiwa amedai kuwa anatokea Mbozi Mbeya na alikuwa akisafiri kwa ungo akiwa na babu yake ajulikanaye kwa jina la Zambi na walikuwa wakielekea China kununua Silaha! Polisi wanafanya utaratibu wa kumrudisha kwa Mbeya.

I don't get mental picha hapa..

lol
 
Kuna uwezekano mkubwa ikatuchukua karne nyingine ilikutoka kwenye hili tope la imani za kishirikina. How on earth can one believe such a story? Wakuu mmesahau wale walitua Tabata na wengine kanisani kwa mama Lwakatare ambao baadae ilikuja gundulika ni matapeli?
 
Polisi wanafanya utaratibu wa kumrudisha?
Si wamwache arudi kwa usafiri uliompeleka pale melini!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom