Binti wa kazi anahitajika

ihagaa

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
250
174
Binti wa kazi anahitajika dar awe mwenye heshima na kujituma usafi ni muhim chakula, mavazi na mahitaji madogo atasaidiwa na mshahara pia umri ni kuanzia miaka 18
 
Binti wa kazi anahitajika dar awe mwenye heshima na kujituma usafi ni muhim..chakula.mavazi na mahitaj madogo atasaidiwa na mshahara pia..umri ni kuanzia miaka 18
KWAHIOO AKUFWATE HUKU
MUTANGAZE NA NAMBA ZENU
 
Binti wa kazi anahitajika dar awe mwenye heshima na kujituma usafi ni muhim..chakula.mavazi na mahitaj madogo atasaidiwa na mshahara pia..umri ni kuanzia miaka 18
Ni juzi tu nilikuwa na msichana anahitaji kazi hizo hizo, unipm number yako nikuunganishe naye. Kwani mshahara shs ngapi?
 
Binti wa kazi anahitajika dar awe mwenye heshima na kujituma usafi ni muhim chakula, mavazi na mahitaji madogo atasaidiwa na mshahara pia umri ni kuanzia miaka 18
ni pm mkuu kunabinti anahitaji kazi ila atakuwa anakuja nakuondoka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom