- Thread starter
- #21
Hapo parefu sitoweza mkuuUtaweza kumlipa 150000? Aje yupo Vingunguti
Hapo parefu sitoweza mkuuUtaweza kumlipa 150000? Aje yupo Vingunguti
Wakubaki ndo anahitajka mkuu..ni pm mkuu kunabinti anahitaji kazi ila atakuwa anakuja nakuondoka
Hatukejehi mkuu.n shida kwelHivi unazani wanaitaji kweli !
Wanakejeli tu na kutapeli watu usiwaamini hata mpeleke binti wa watu ujute ...!!
Duuh watanzania siku hizi tumefkia hatua ya kutoaminianaok nimukusoma aisee nitachukua tahadhari