Be calm
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 3,793
- 9,072
AiseešAsikubali kumpa Nini!? Maana sikuhizi Wana vingi vya kutoa
AiseešAsikubali kumpa Nini!? Maana sikuhizi Wana vingi vya kutoa
Wanaume tusitowe fedha kwa mwanamke ambaye hujamuowa atakuwa ana kufanya kama chuma ulete."Binti usikubali kumpa mwanaume ambaye bado hajakuoa, ukimpa hawezi kukuthamini ataona kama unampa kabla ya ndoa akiwa sio mume wako unaweza kumsaliti ndani ya ndoa kwakuwa huna msimamo na mwili wako, hakikisha unampa baada ya kukuvisha Pete ya ndoa kidoleni mwako"View attachment 3163773