bintimsuya
Member
- Mar 17, 2014
- 8
- 5
we mwambie huna kama kakupendea hela utajuaKuna msichana ambaye tumejuana kwa wiki tatu sasa na tayari ameanza kuniomba pesa za mahitaji yake.
Hii hali sasa imeanza kunichosha naanza kumchukia taratibu siku zingine akipiga simu sipokei maana sipendelei kuombwa pesa kanakwamba mimi nimekuwa baba yake mzazi
Nahisi kuwa anathamini zaidi pesa kuliko uhusiano wetu kwani bado hatujafahamiani vya kutosha.
Nb: Ukiona mtu kaweka mbele pesa zaidi ya uhusiano, kuwa na tahadhari sana kwani msingi wa uhusiano huo utakuwa ni pesa na zikimalizika utaporomoka. Mapenzi bila pesa si mapenzi
Hahaha sasa si amuache mdada atafute mwenye pesaApate wapi? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sina pesa, jamaa anagharamia kama anavyopaswa! Kazi yangu ni kulea familia.Naomba status yako tafadhali, una pesa yako tayari
Teh teh tehHahaha
Amejaribu kutunga story ya kufikirika hapo ila hajanishawishi
Mi nashangaa kamng'ang'ania. Amuache atapata mwingine wa kumpaHahaha sasa si amuache mdada atafute mwenye pesa
Pongezi kwake, kama kuna jamaa yupo tayari kuzibia mapengo kuna nafasi ?Sina pesa, jamaa anagharamia kama anavyopaswa! Kazi yangu ni kulea familia.
Aaah shem-darling[emoji38][emoji38][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nisije nika waharibia ndoa
Nyie ishini kwa style yenu
Atakuwa na vitu adimu saana huyu mdada, si unajua kuna ladha na ladhaMi nashangaa kamng'ang'ania. Amuache atapata mwingine wa kumpa
Asanteh kwa kutambua umuhimu wangu baby, Miller anakubishia tuu lakini kimoyomoyo anakubaliana na ile statement yako ya kwanza.Idea ya mwanamke kukusaidia ku make money siyo lazima afanye kazi na yeye akupe pesa anaweza kukusaport tuu kwa idea za kuboresha biznez, kusaidia kufunga mahesabu, kutafuta ushuri kwa watu, kutafuta wateja etc.
Mimi hata huku porini nilipo now ni Ney dio alinipa hiyo Idea. Nikisha rudi na mzigo hata akispend ni haki yake.
Hahaha wanawake mnakuwaga mnatumia ishu za uanaume kwenye mambo ya pesa na ulinzi. Kwenye mengine utaskia usawaaa usawaaa 50 kwa 50 sjui.Thubutuuu!!! Tunawasaidia kuspend ili muamke mzitafute zaidi. Ndio uanaume huo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aaah shem-darling[emoji38][emoji38]
[emoji23]Teh teh teh
Vipi baby, mzima wewe
Wa kucover mapungufu anaruhusiwa.Pongezi kwake, kama kuna jamaa yupo tayari kuzibia mapengo kuna nafasi ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana wala hata sikuui hata kidogo madam...najaribu kuona ukweli upo wapi hapa, anajitahidi kuwa strong juu yako kwakweli...[emoji3][emoji3][emoji3]
Vitu adimu gharama mkuu.Atakuwa na vitu adimu saana huyu mdada, si unajua kuna ladha na ladha
Ok mkuu, haya ndiyo maneno sasa ngoja nitumie fursaWa kucover mapungufu anaruhusiwa.