Binti mwenye mwandiko Bora duniani

Ramsy Dalai Lama

Senior Member
Apr 5, 2021
147
540
Binti anayeitwa PRAKRITI MALLA kutoka Nepal ameonyesha umahiri wake katika uandishi wa mwandiko wenye kuvutia sana. Handwriting yake ilichaguliwa kama MWANDIKO BORA katika mashindano ya mwandiko ulimwenguni.
Polish_20220805_195119901.jpg
Polish_20220805_195036291.jpg
 
Weeeee,sema wengine ndio hvyo hyo guiness ipo mbali,kuna maraia wana,miandiko mizuri balaaaa,

Kwa uchache tu,

Majid Hamidu(classmate)
Kidawa Yusta(Office mate)

Hao unaweza sema ni kompyuta ndio imeandika na sio binadam
 
Kwanza nachukia kuandika..kwenye elimu ya msingi,sec mpaka chuo kipindi cha mitihan kama nikichelewa kutoka basi ni watatu chumba cha mtihani..,huu mwandiko naujua mimi tuu..hata hao walimu waliponifikisha wamepata shida sana..
 
Back
Top Bottom