Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,811
- 235,953
Mkuu kweli unachosema ila Kwa suala la mwandiko aisee,,kuna watu nawajua wengi tu wanaandika vzuri,itangazwe hiyo fursa bongo tusiandikie mateπWabongo wengi wanajionaga wanaweza kila kitu , waliamini mpaka corona itadunda ππ, hahhaa imetafuna kama haina akili, huku nilipo imeondoka na wachagga wengi.
Anaweza akawa na mwandiko mzuri lakini marks zinamkataa.Hivi inakuwaje mtu anakuwa na hand writing nzuri
Mimi mpaka leo nikiandika kama bata na kazi tunafanya hivyo hivyo..
Hebu nianbieni mnafanyaje mpaka mwandiko unakuwa mzuri?
Binti anayeitwa PRAKRITI MALLA kutoka Nepal ameonyesha umahiri wake katika uandishi wa mwandiko wenye kuvutia sana. Handwriting yake ilichaguliwa kama MWANDIKO BORA katika mashindano ya mwandiko ulimwenguni.View attachment 2315476View attachment 2315477
Kumbe to yeye ni tcha,hatimaye leo upepo umekufunua!Nzuri sana,kuna mwanafunz ana mwandiko mzuri kutuzidi walimu ila ndo hajui kusoma....ananakili vizuri ajabu na mwingine ukimpa kitabu Cha kujifunzia anasoma vizuri page zote Siku tukampa kitabu Cha darasa lingine alishindwa kusoma hata neno ma kumbe alikariri kitabu Cha mwalimu anavyowafundisha Kila Siku.Watoto bhanaπ€£π€£
We na huyo mna endana kiukweli una muandiko mzuri mnoooNi vile tu hatukwenda kwenye mashindano mdogo wangu[emoji23]
Mbona tumemuacha mbali sana[emoji1787],tungeibuka kidedea mapema sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KweliAnaweza akawa na mwandiko mzuri lakini marks zinamkataa.
Ukute anapata 12/100
Hapo ningeandika wa kushindana huenda nisingekosa hata Kwenye top20.We na huyo mna endana kiukweli una muandiko mzuri mnooo
Wewe afadhali Mimi kama kuku walikuwa wanapigana!Mungu kambariki, sisi wengine tukiandika ni kama kapita bata vile.π€£π
Hivi kuna Dr ana mwandiko mzuri!Kweli mwandiko mzuri. Amenikumbusha kuna Dr mmoja ana mwandiko mbaya. Yaani hata yeye sometimes huwa anakuja kushindwa kusoma kitu alichoandika mwenyewe.
Weka ushahidiNi vile tu hatukwenda kwenye mashindano mdogo wanguπ
Mbona tumemuacha mbali sanaπ€£,tungeibuka kidedea mapema sanaππππ
Wapo.Hivi kuna Dr ana mwandiko mzuri!
Hivi kuna Dr ana mwandiko mzuri!