Binti mwenye mwandiko Bora duniani

Mimi nina mwandiko mzuri huyo dada hanifikii, but wakati nasoma mwandiko wangu mzuri sana nilikuwa nina andika kwenye mtihani ambao nina hakika B+ na A, cause kuandika mwandiko mzuri speed inapungua
 
Kweli mwandiko mzuri. Amenikumbusha kuna Dr mmoja ana mwandiko mbaya. Yaani hata yeye sometimes huwa anakuja kushindwa kusoma kitu alichoandika mwenyewe.
๐Ÿ˜‚ Doctor katisha...mpaka anashindwa kusoma mwandiko wake mwenyewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mungu atawasimamia...nakuombea kwa Mungu utashudia mafanikio tele kwa wanao...God will give you strength to do better for your kids, so continue to be Strong and Courageous mkuu
 
Weeeee,sema wengine ndio hvyo hyo guiness ipo mbali,kuna maraia wana,miandiko mizuri balaaaa,

Kwa uchache tu,

Majid Hamidu(classmate)
Kidawa Yusta(Office mate)

Hao unaweza sema ni kompyuta ndio imeandika na sio binadam

Nilijua mtakuja tu kupinga,, ndio yale yale ya umri, akitolewa bibi alievunja rekodi ya dunia ki umri mnaanza oh huku tunao wengi tu, tena wakubwa zaidi yake ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ ujuaji mbaya sana ๐Ÿ˜
 
Ungeleta picha za miandiko yao ingekua vizuri mkuu na sisi tujionee na kujivunia vya kwetu
 
Kweli mwandiko mzuri. Amenikumbusha kuna Dr mmoja ana mwandiko mbaya. Yaani hata yeye sometimes huwa anakuja kushindwa kusoma kitu alichoandika mwenyewe.

Wasomi wengi tu huwa wana mwandiko mbaya, utazani miguu ya bata
 
Ungeleta picha za miandiko yao ingekua vizuri mkuu na sisi tujionee na kujivunia vya kwetu
Office mate kashastaafu kama miaka 4 iliyopita,school mate tumeachana kitambo sana tena siku hz ni mhadhiri huko Japan,ila mkuu hao watu unawwza kujua komopyuta ndio imeandika
 
Nilijua mtakuja tu kupinga,, ndio yale yale ya umri, akitolewa bibi alievunja rekodi ya dunia ki umri mnaanza oh huku tunao wengi tu, tena wakubwa zaidi yake ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ ujuaji mbaya sana ๐Ÿ˜
Kwa hiyo mkuu wewe hujawahi kuona watu wenye miandiko mizuri kuliko huo?
 
Huyu dada hanifikii mie hata kidogo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Saint Anne eti nawee cc vipi anakufikia huyu??
Ni vile tu hatukwenda kwenye mashindano mdogo wangu๐Ÿ˜‚
Mbona tumemuacha mbali sana๐Ÿคฃ,tungeibuka kidedea mapema sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ni vile tu hatukwenda kwenye mashindano mdogo wangu๐Ÿ˜‚
Mbona tumemuacha mbali sana๐Ÿคฃ,tungeibuka kidedea mapema sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Wabongo wengi wanajionaga wanaweza kila kitu , waliamini mpaka corona itadunda ๐Ÿ˜๐Ÿ˜, hahhaa imetafuna kama haina akili, huku nilipo imeondoka na wachagga wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ