Binti mdogo katoa mimba mara nne

Binti mdogo katoa mimba mara nne

Kawaida sana, mimi niliyesoma shule zetu hizi "kajamba nani" mimba zilikua zinatolewa kama njugu! Yaani lilikua ni jambo la kawaida sana, toka shule ya msingi, sekondari-watoto "wanashusha tu" Wengine washushaji walifika mpaka vyuo vikuu na leo ni watu wa maana mnawashobokea town, na pengine bado wanashusha tuu - hili ni tatizo kubwa kuliko linavyochukuliwa. Mungu awasaidie dada zetu ndugu zangu na awaepushie mbali.
 
Mass media imechangia kuharibu vijana. Enzi zile tunakua mawasiliano ilikuwa ni barua, simu zilikuwa chache (Shirika la posta na simu) pia ghali. Uhusiano na jinsia ya pili ilikuwa mnakutaa either shule au kwenye school disko. zile za Mzumbe Boys na Kilakala girs, UMISETA etc.

Sikuhizi binti wa miaka 15 ana iphone, anachat mpaka saa nane usiku.
Umenikumbusha MZUKILA mkuu
 
Ayoo mambo n yakawaida kabsa ataa mijini baadhi ya mikoa.
 
tunaotaka kuoa na hatujabobea hayo mambo tuna kazi kweli tunaposikia haya..
 
Binadamu hupitia mambo mengi sana kwenye maisha, mwenyezi mungu atunusuru na vizazi vyetu...
 
Na utoaji mimba salama yaani safe abortion ingiwaje sio legal ila inasaidia.
matendo ya hatari mara nne sasa na bado atashiriki.
unaweza kuoa mwanamke wa hivyo aki confess na ukute pungufu alilo nalo ni hilo tu

Root
 
Back
Top Bottom