Binti Mariam

Pole mdogo wangu Mentor....
But naomba kujuzwa kuna ubaya gani kuoa familia moja, mentor anamjua na kumpenda Mary, kaka anampenda Pendo hawa watu wanne kila mtu ana lifestlye yake, na wakioana zitakuwa ni familia mbili tofauti, mila na desturi zinasemaje na maandiko pia kakika Biblia yanasemaje kuhusu hili,plz!
 
Pole sana mkuu najaribisha kukivaa kiatu cha mary naona kinanibana aisee. Sasa kwanini usifuatilie kujua mila zinasemaje nafahamu familia moja walioa mabinti ambao walikua mkubwa na mdogo na ndoa zao zilifungwa kanisani mpaka leo watu wale wanaishi kwa furaha na amani.
 
Lyagwa unadhani kuna binadamu asokuwa na mitihani?? (positively tuite ni changamoto)

Katika maisha kila mtu ana changamoto zake na zinatofautiana kulingana na mazingira, wakati nk, ila tu niliogopa ama kuhisi kulingana na andiko lako huenda una changamoto similar na ya mkuu mentor, thus why niliuliza na si vinginevyo.

Uwe na alasiri njema.
 
You guys mmenichanganya kuliko kutatua suala langu:
Mamndenyi: hata mimi nafahamu mzee mmoja wanamuita Kaburu yuko kule Mbulu (hanang) ameoa binti wanne ndugu wa tumbo moja... lakini sidhani kama hilo suala lilikuwa rightly accepted kwenye jamii yake au alifanya tu kwa ubabe wa mali.

Mimi ni mchaga, ningependa kufahamu watu wenye uelewa wa haya mambo kwa upande wa wachaga ingenisaidia zaidi.. na kwa upande wa wanyakyusa maana baba wa binti ni mnyakyusa na mama msukuma.

dada gfsonwin, kwa nini niishi kwa kuwaza negatives?
LIKUD, PM me nikuambie jina la baba yangu halafu ukasikilize stori za wazee waliokuwa Moshi wakati wa uongozi wake..ukimpata tu mmoja atakayekupa sifa negative (justified) juu ya utendaji mbovu wa baba yangu..na mimi nitakuunga mkono kwenye kuwachukia mapolisi. otherwise, hasty generalization is a fallacy..you will miss out on a lot of things in this world!!!!
Queen Kan , Jodoki Kalimilo , dada white, msukwa, Barca, @mr rock , shosti mimisa VS watu8 , Salve, alma gemela, kamusi

Paloma na Lyagwa get a room!!!!
Baraka Roman na mkuu Kashishi ngojeni nipate jibu la uhakika ndo nijue kama nawaachia au la..ila mjue kuna time huko mbeleni mtakuja kushare na mimi tu...

Setuba Noel na Kongosho it's obvious siwezi kuweka kila kitu openly..majina halisi yamebadilishwa ili kuficha uhalisia wa wahusika...!!!!
 
Last edited by a moderator:


Ninapoona mifani halisi ikitolewa namna hii tena toka pande tofauti za nchi nashawishika kuamini kuwa jambo hili sio haramu kwa mila na desturi za kiafrika.

Kumbe basi Mary na Mentor kama wana nia moja wanaweza endelea mbele na mambo yao.
 
hakuna cha unyakyusa wala nini. Hizo ni enzi hizo bana, ebu ampe mimba uone kama wazazi watakataa......yeye ni uoga wa bure tu

mmh! Haya mambo ya kupeana mimba ili kulazimisha ndoa ni ya hatari, nina mfano wa dada yangu kabisa alikatazwa kuoana na ambaye ni mumewe wa sasa lakini alikaidi ushauri wa wazazi kisha wakapeana mimba....baada ya ndoa na huyo dada yangu kujifungua mwanaume kabadilika hatunzi mke wala mtoto....sometimes tuwaskilize wazazi jaman!
 
Ebwana daaaaaah.....pole sana mentor. Upo kwenye wakati mgumu sana na kumsahau Mary itakua ngumu cz mmeshakua ndugu tayari. Daah...muombe sana mwenyez Mungu umsahau na akuletee mwingine wa kufanana na binti Mariam.
 

ooh thanks for your concern. lakini sina changamoto kama hiyo. ngoja nitakuja na ya kwangu afu ntakutag!!!
jioni njema na kwako pia!
 
Pole sana mentor, kama mila zenu haziruhusu kuoa familia moja usithubutu lakini kama huo mpango upo basi waweza kamilisha ndoto zako na bi Mariam
 
pole braza
fanya uchunguzi kujua kama mila na desturi zinaruhusu........kuna familia mbili zenye watoto wa kike/kiume na wameoana yaani wa kiume katika familia moja kamwoa wafamilia nyingine na yule wa kike kaolewa na yule wakiume wafamilia nyingine na maisha yanaendelea
 
naona kama Watu8 yuko sawa kabisa , ndo maana sioni tatizo la yeye kumuoa MARY wake
 
Go for her kama bado unampenda..sidhani kama inashindikana, hamna undugu wowote. Nawafahamu jamaa fulani mtu na kaka yake wameoa nyumba moja yani mtu na dada yake (undugu wa damu kabisaa). Nikikutajia jina unaweza kuwapata..!

Please grow old together!! changamka besti ohooo
 
ukome kuchelewesha kazi..huwa inabidi uende kwa haraka kama hisia unazo..loh, utataabika maisha yako yote, maana Mary ndo umemkosa na hapo itakuuma achaa yaani...hata kama ukioa bado utamkumbuka Mary. Nakuonea huruma mkuu sema umejitakia mwenyewe.
 
Chukua mashine kaka hamna ubaya wowote umetoka nae mbali sana. Ukioa mwengine inaweza ikakusumbua ile mbaya
 
maskini mentor yuko soo obedient,laws are there to be broken
 
We nae kwa uvivu lol!
Sijui kama hata huwa unasoma magaeti

Halafu ram, mimi na wewe tuna kitu kimoja very common hujajua tu! Hebu muulize dada Paloma atakuambia...kila nkiona post yako...



besame mucho bestiii...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…