Hello wakuu,
Kuna hili suala la baadhi ya mabinti kuwa karibu sana na baba zao ingawa na mama zao wapo, hivi ni kweli kwamba ni wameruka stage?
Me sijui saikolojia naomba mnieleweshe kwa sababu hali hii nimeishuhudia kwa mabinti baadhi nikiwemo na mimi mwenyewe tangu mtoto hadi nimekua maana mabinti wengi huwa karibu sana na mama zao.