Binti kumkonyeza mwanaume kwa jicho la kulia

Binti kumkonyeza mwanaume kwa jicho la kulia

Hakuna jamiiforums ya huko uliko uulizemo!??
 
Wakati mwingine ni salamu tu ya kawaida. Mwingine anaweza kukonyeza na akawa akwa kama anakuita kwa kidole ila ndo salamu yenyewe.
 
wazungu wana taratibu zao huenda ndio vile wanasalimiana, si unajua ukiongea na mzungu yakupasa umkodolee macho usoni wakati m'bongo ukimfanyia hivyo anaweza kukutwanga konde la uso maana atakuona kama mwanga vile
 
Ankoli usije ukahisi ushalamba viza, huyo atakuwa na makengeza mchunguze vizuri.
 
wazungu wana taratibu zao huenda ndio vile wanasalimiana, si unajua ukiongea na mzungu yakupasa umkodolee macho usoni wakati m'bongo ukimfanyia hivyo anaweza kukutwanga konde la uso maana atakuona kama mwanga vile
😀😛🙂 Naye mzungu akukodolea mijicho tena ayagonga kwenye macho yako direct halafu ukute ana yale macho flani ya kutisha (pichani) lazima uwe na hofu.
 
hiyo style mabinti wa kizungu huitumia wakishachokwa na uwepo wako
 
Hellow Smart911 [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
hayden-panettiere-blinking.jpg

Wakuu hivi binti wa kizungu umri kati ya miaka 25-27 kuanza utaratibu wa kumkonyeza mwanaume kwa jicho la kulia kila wanaposalimiana huwa ina maana gani?

Tabia hiyo kabla hakuwa nayo. Sasa hata akiwa katoka usingizini huyo binti bado ana wenge wakikutana tu kwenye korido huyo jamaa huwa lazima achapwe konyezo la jicho la kulia. Wakikutana hata ofisini, wakasalimiana konyezo huingizwa!

Wanakaa nyumba moja, wanafanya kazi sehemu moja ofisi tofauti.
Maana yake jamaa anatongozwa ivo.
 
Back
Top Bottom