Binti kumkonyeza mwanaume kwa jicho la kulia

King0001

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2017
Posts
200
Reaction score
285
hayden-panettiere-blinking.jpg

Wakuu hivi binti wa kizungu umri kati ya miaka 25-27 kuanza utaratibu wa kumkonyeza mwanaume kwa jicho la kulia kila wanaposalimiana huwa ina maana gani?

Tabia hiyo kabla hakuwa nayo. Sasa hata akiwa katoka usingizini huyo binti bado ana wenge wakikutana tu kwenye korido huyo jamaa huwa lazima achapwe konyezo la jicho la kulia. Wakikutana hata ofisini, wakasalimiana konyezo huingizwa!

Wanakaa nyumba moja, wanafanya kazi sehemu moja ofisi tofauti.
 
Usije ukajidanganya ukafikiri amekuzimikia. Inawezekana ni jicho lake limeblink ukadhani amekukonyeza. Kwani kwani akifanya hivyo huwa anatabasamu?
 
Ok it actually means the mesopotamia and blink is now in engine and photocopy together, thats like wat you do and the crossing check
 
Wakuu hivi binti wa kizungu umri kati ya miaka 25-27 kuanza utaratibu wa kumkonyeza mwanaume kwa jicho la kulia kila wanaposalimiana huwa ina maana gani?

Tabia hiyo kabla hakuwa nayo. Sasa hata akiwa katoka usingizini huyo binti bado ana wenge wakikutana tu kwenye korido huyo jamaa huwa lazima achapwe konyezo la jicho la kulia. Wakikutana hata ofisini, wakasalimiana konyezo huingizwa!

Wanakaa nyumba moja, wanafanya kazi sehemu moja ofisi tofauti.
Si useme imekutokea wewe?
 
Back
Top Bottom